Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
kwahiyo ulidhani Ukisoma computer cource pale utakuwa na cheti kama cha mwenye degree ya UDSM? Ningeona una hoja ya msingi kama ungesema pale mafunzo yanayotolewa hayana kiwango kinachostahili.jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
Zamani ilikuwa na association na UDSM academically, ila baada ya kuja ishu za NACTE et al, sasa uhusiano wa UCC na UDSM upo economically zaidi, na si academically. So unaweza kupata cheti UCC lakini kisikusaidie lolote kujoin further UDSM studies. Kuna tudada twingi tu huko uraiani tunawahadaa watu kwamba tunasoma UDSM, kumbe tunaishia kwenye jengo moja tu la UCC !
King'asti una akili... ila makosa madogo madogo kama haya usiwe unayarudia! sawa mama?Angalia tena, hiyo 'of' nadhani haipo, bali ni "university computing center". Kuwa makini na vitu unavyosoma manake ukiongeza kisichopi inabadili maana. Utupe feed back plz
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
dogo ungesoma degree UDSM ungedisco mwaka wa kwanza,yaani umesoma vikozi vya kufanya kazi stationary afu unataka gamba la UDSM! km ungekuwa ulichana vizuri tokeo lako la advance basi ungekuja chuo bora ulimwenguni
jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
Afadhali wewe umepata Cheti, watu wamesoma Diploma miaka miwili mpaka leo mwaka wa 4 wanapigwa danadana Kati ya UDSM na UCC. Chezea ujasiliamali wewe!jamani hichi chuo mie sikielewi nimesoma short course ila nashangaa cheti nilichopewa kimeendikwa university of computing center limited hivi hiki chuo na udsm wana uhusiano gani
Zamani ilikuwa na association na UDSM academically, ila baada ya kuja ishu za NACTE et al, sasa uhusiano wa UCC na UDSM upo economically zaidi, na si academically. So unaweza kupata cheti UCC lakini kisikusaidie lolote kujoin further UDSM studies. Kuna tudada twingi tu huko uraiani tunawahadaa watu kwamba tunasoma UDSM, kumbe tunaishia kwenye jengo moja tu la UCC !
kwahiyo ulidhani Ukisoma computer cource pale utakuwa na cheti kama cha mwenye degree ya UDSM? Ningeona una hoja ya msingi kama ungesema pale mafunzo yanayotolewa hayana kiwango kinachostahili.
kama unataka cheti cha UDSM nenda kasome computer sayansi pale mlimani na sio vikozi vya wiki 6 unataka uwe na cheti cha chuo kikuu, huo ni uvivu wa kufikiri.
Mkuu C programming navojua ni kwamba UCC-University Computing Centre. Inamilikiwa na UDSM STAFF ila haimanishi kuwa ukisoma hivo vikozi vya wiki 6 upewe cheti cha UDSM,
na siyo UCC tu wale staff wanavitega uchumi vingi mfano:
Ukienda UDBS wanakitengo chao cha UDEC-University of Dar es salaam Enterpreneurship Centre.
Ukienda COET wana BICO-Bureaul for Industrial Cooperation.
Kingine wale wanaofanya kazi pale hawalipwi na hazina bali wanalipwa na Chuo.