hivi titus kaguo wa ewura anatumia kichwa kufikiri?

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,313
anadai hakuna kwa tatizo la mafuta wkt watu wanahaha kuyasaka hayapatikani
 
Mi aliponikera ni pale alisema anshangaa watu kujazana kwenye petrol station wakati mafuta yamejaa bwerere....yaani kama watu wanaona starehe kujazana huko petrol station! Nawashauri watafute msemaji wa idara (kama Tanesco Badra Masoud anawasaidia sana) lakini sio kama yule ***** Kaguo alivyokuwa anaropoka ropoka jana!
 
Miminafikiri ni muhimu kutumia sheria zilizopo na kuwabana wenye vituo vya mafuta badala ya kutupatia 'version tofauti kilakukicha .wanapopandishiwa bei mbona haraka haraka wanapandisha beina mafuta yanakuwepo kosa wakipunguziwa.
 
Back
Top Bottom