Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

wakati wenzake walikuwa busy kutafuta matangazo na wadhamini wa vipindi yeye alikuwa anatoa offer kwa ccm kumtukana Lowasa, sasa kwa nini asifilisike? Aliamua kumuaibisha Lowasa sasa sijui kati ya Lowasa na yeye nani anae aibika zaidi?! Wahenga walisema utavuna ulicho panda, acha avune mabua yake.
 
BBC Dira ya dunia inaoneshwa ikifika muda wake ila cha ajabu jana ilikuwa haina sauti hata kidogo na Zuhura Yunus hana habari yeye anatiririka tu, tuliambulia picha habari unaijenga mwenyewe.
 
Diallo ni mpuuzi sana.
 
BBC Dira ya dunia inaoneshwa ikifika muda wake ila cha ajabu jana ilikuwa haina sauti hata kidogo na Zuhura Yunus hana habari yeye anatiririka tu, tuliambulia picha habari unaijenga mwenyewe.
ha ha ha! et habari unaijenga mwenyewe!
kuwafungia muwafungie kisha wawaletee ugali na mboga! hebu kuleni vivyohivyo
 
Back
Top Bottom