Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

mnadhani 4.5bilion ni mia200? bado mishahara kumbukeni kwa sasa hawaingizi chochote zaidi yakutoa
 
Hakuna kitu kibaya kama kuchanganya siasa za upande mmoja na kazi maana inasababisha kugawa wateja zako..

Send from Nokia batani
 
Walikuwa wapiga dili sasa kwenye utawala huu hakuna dili ndiyo maana wameanza kufilisika
Acha kukariri?? Je malipo yake ya wakati wa uchaguzi alishalipwaaa??! Kwani katika vituo ambavyo vikijitoa mhanga kurusha kila kitu ambacho ccm walikuwa. Wanakifanya kwenye kampeni ni star tv!! Nasikia kuna madai nao waidai ccm.
 
Kama pangekuwa na sheria ya wasikilizaji/watazamaji kushitaki uongozi wa media kwa kutokuwa hewani, mie ningekuwa wa mwanzo kumshitaki Antony Dialo kwani sina raha kutosililiza RFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sawa mkuu
Sasa si wawalipe hao TRA? MBONA NA SISI WATEJA TUNAILIPIA HIO CHANNEL KUIANGALIA?
hao viongozi wahicho kituo wanafanya kazi gani?

Sent from Calculator Phone vesion007
Ajabu sana. Malipo ya kujiunga na radio/TV za nje, matangazo yalikuwa yaenda wapi?
Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni.

Nasikia kuna malalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho.Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?

Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv.

Sent from Calculator Phone vesion007

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Hawa jamaa walizoea kujiendesha kwa ujanja ujanja, hata ile karakana yake ya Igoma karibu na kiwanda cha coca cola aliifunga baada ya awamu ya Tano kuingia madarakani, alikuwa halipii kodi lakini kwa serikali ya sasa razima matajiri waishi kama omba omba, Tutasomana tu mwishowe.

Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni.

Nasikia kuna malalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho.Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?

Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv.

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Hiyo Pesa hailipiki anayodaiwa na TRA , anaweza akasubili muda ukifika ipigwe munada , then yy anazunguka anakinunua tena kwa kupitia jina jingine kwa bei nafuu, baada ya hapo anabadili jina maisha yanasonga.

Tangia kufungwa kwa kituo cha Star Tv wiki mbili sasa naona kimya tu kila niki search hio channel kwenye TV siioni.

Nasikia kuna malalamiko juu ya ulipwaji wa mishahara ya wafanyakazi wa kituo hicho.Je hio kodi italipwa au ndio kituo imetoka hio?

Nimeimiss saana taarifa ya habari ya dira ya dunia ktk Star tv.

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Acha kukariri?? Je malipo yake ya wakati wa uchaguzi alishalipwaaa??! Kwani katika vituo ambavyo vikijitoa mhanga kurusha kila kitu ambacho ccm walikuwa. Wanakifanya kwenye kampeni ni star tv!! Nasikia kuna madai nao waidai ccm.
hakuna cha madai wala nini, walijipendekeza wenyewe!
 
Back
Top Bottom