Hivi Slaa ni mzulu?

GeniusBrain,
Kama huna unachoamini na kupigania maishani, ukikosa "principles" katika maisha utabaki kuwa popo, na matokeo ni uwoga usio kifani. Nimezaliwa mara moja na nitakufa mara moja. Hivyo "kupotezwa" is not an issue. Let them do it na hapo malengo yatakuwa yametimia!
Kiongozi nadhani hii thread sio ya hadhi yako kuijibu, ni thread zinanzoanzishwa na wehu hapa JF, sisi tunataka kusikia kutoka kwako huu mzigo unaoitwa Shibuda ni lini mtauondowa kwenye chama?
Maana ukiona mtu hata ccm hatakiwi mnatakiwa mjiulize mara mbili mbili why! ni bora kulipoteza jimbo la Shibuda kuliko kuwa na popo kwenye chama ambaye hajulikani kama ni ndege au mnyama.
Tafadhali tunawaangalieni kwa makini sana kipindi hiki ili kujuwa umakini wenu au mnajali ruzuku ya kuwa na majimbo mengi.
 
Back
Top Bottom