Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,864
Sio hao tu hata hawa wa humu wanatamani hali ya nchi ya asali na maziwa ila ndio hivyo tu wanaona bora waponde lakin rohoni wanatamani c unajua tena hata ngedele anapenda cha chai asubuhi ila hajui tu ataipatajeMbona hamsikii
Naona hadi viongozi wenu akili zao zimeanza kurudi.