Namie namaanisha hiyo hiyo ndoaNdoa namaanisha
yani saivi ukitakaa kukaa single we chunguza tu.Kwanza hawataki wachunguzwe.
Yaani ukitongozwa na mtu kwenye simu hata humjui utamzingatia?Itabidi ukae single tu.
Hapana. Kwa case ya huyu kaka kama ni kweli basi wanawake zake wapo kimkakati. Huwezi mkubalia mtu kijuu juu hata kumuona hujawahi zaidi ya picha tu.Yaani ukitongozwa na mtu kwenye simu hata humjui utamzingatia?
Labda kama mleta mada ni wa huko kigoma ndani ndaniHapana. Kwa case ya huku kaka kama ni kweli basi wanawake zake wapo kimkakati. Huwezi mkubalia mtu kijuu juu hata kumuona hujawahi zaidi ya picha tu.
We dad umeongea yan huwez amin wanakubali kabisa tena kutoka kimapenzii mtu humjui kisa kakutumia tu picha wasapHapana. Kwa case ya huku kaka kama ni kweli basi wanawake zake wapo kimkakati. Huwezi mkubalia mtu kijuu juu hata kumuona hujawahi zaidi ya picha tu.
Kabisa. Si rahisi.Labda kama mleta mada ni wa huko kigoma ndani ndani
Wadada wa mjini hawana hizo pigo hainiingii akilini kabisa
Hao ni wafanya biashara.We dad umeongea yan huwez amin wanakubali kabisa tena kutoka kimapenzii mtu humjui kisa kakutumia tu picha wasap
Ndio kilitakiwa aambiwe tu mkuu ,aache kbs c kupunguzaPunguza utoto....
Kuacha ghafla ngumu, apunguze mdogo mdogoNdio kilitakiwa aambiwe tu mkuu ,aache kbs c kupunguza
Investment😂😂😂😂😂Utoto kivp sometime unamchunguza mtu uwe na uhakika ili hata kama unainvest kwke uinvest kihakkk