Hivi SEX ni love!

fazaa

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,984
1,030
Hivi mtu anafanya sex kwa sababu anapenda, au ni mgonjwa tu yakurukia opposite sex.

Nilikuwa najiuliza kama inewezekana tuna fooling ourselves kama sex ni mapenzi....Mana akipita demu ana healthy Butt na wewe humjui wala hakujui, lakini utataka kufanya naye sex.

Swali vipi sex iwe love? mana kupenda navyo jua inachukua mda sana mpaa mtu apende.

Hapa kuna demu aisay lazima nikatereze kwenye tube ya yahoo.
 
Sex na Mapenzi ni vitu viwili TOFAUTI.... Yaaani kabisa!
Sa mtu kama anapenda, mbona akikosa sex anasema hapendwi!!

Yani mke au gf wako akunyime siutarukia kusema hakupendi :biggrin:

Au wewe ukose kwa mme/bf wako sex siutasema hakupendi.

Si ndo nikauliza sex ni love.
 
Hivi hizi shule za kata hazifundishi sex education?
 
ni upendo gan unaouzungumzia????????kama ni upendo wa kamahaba kati ya mwanaume na mwanamke basi sex is part of it...kam ani upendo mwngne lkethe agape love then sex is not
 
Hivi hizi shule za kata hazifundishi sex education?

sidhani kama wanafanya hivyo kwani waliowengi hasa walimu wao ni vijana kwa hiyo itakuwa wanaona aibu kufundisha malovee shuleni..
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Sex ni kitendo, love ni inner feeling. Unaweza kusex na yeyote hata kama humpendi, ili mradi upate unachotaka ndiyo maana machangudoa wanasex na wateja wao, siyo kwa sababu ya love, hapana. Ni kwa sababu ya Pesa.

Love ni kitu tofauti kabisa, unaweza kumpenda mtu bila hata ya kusex naye! Saa nyingine sex haimaanishi love, ila love inaweza kukusababishia sex kwa mpenzi wako.
 
ni upendo gan unaouzungumzia????????kama ni upendo wa kamahaba kati ya mwanaume na mwanamke basi sex is part of it...kam ani upendo mwngne lkethe agape love then sex is not

kwenye rangi hapo ni fafanulie kidogo sijui umeandika kitu gani..
 
Ndio SEX ni mapenzi.

Sasa mtasema vipi mnapendana kama hajazama deep zaidi, mnaweza kujidanganya mnapendana siku mna SEX tu mnagunduana kwamba mnatoka kwenye dunia mbili tofauti.
 
domain_matrix_hesselink.jpg
 
Back
Top Bottom