Hivi SEX ni love!

At least wanaosema wanatoka mbinguni has logic than wanatoka chini ya jiwe kubwaaaaa! lol... OR wanauza hopitali. Ila one thing is for sure, siku hizi walau the wazazi are trying there best being open to their kids as compared to zamani. After all the kids have so many places za infor kuweza pata habari, haya mambo hadi radios siku hizi zinaonglea kwa uwazi kabisa, naona zama za uwazi siku hizi...

The media may be teaching them a lot about sex, but it is like education tries to hide it from them. Bado sielewi why it is OK to teach the biology of reproduction in schools but not sex and relationship? Does that make sense to you?

Wha do you think about the thread (genuinely) too femine?

Ile thread inasema "kwa wanawake tuu" So, no male comment. LOL
 
Calender wengine ndio inatikiwa uwe makini sana.... One mistake on goal! lol... Ila mbele nyuma hilo tendo halitakiwi vitu artifivial kama rubber aisee....lol... Michelle dear sikumbuki kama wewe uliweka adha na kero zako pale...

Hakuna mistake bwana,siku hizi kuna apps hata kwenye smart phones,inakupa almost everything accurate...mi sipati shida, sikuhizi hata nikiwa nimechoka tu naenda kwenye apps zangu,naangalia leo niko hatua gani,najua kwa hatua hii stress iko high...lol

Kero nyingi nilikuta wapendwa washazitaja kwa ufasaha,nikaona niwe msomaji na mwanafunzi....to me,its one of the three most useful thread in JF.
 
Hakuna mistake bwana,siku hizi kuna apps hata kwenye smart phones,inakupa almost everything accurate...mi sipati shida, sikuhizi hata nikiwa nimechoka tu naenda kwenye apps zangu,naangalia leo niko hatua gani,najua kwa hatua hii stress iko high...lol

Ningependa sana kujua ni wanaume wangapi wamezi-master menstrual circles za wapenzi wao.
 
Tuanzie hapa. Mwalimu akiwafundisha wanafunzi wake jinzi ya kuvalisha uume kondomu. But nina wasiwasi mkubwa Mods wataondoa hii picha au kupeleka thread jukwaa la kikubwa. LOL.

sex-education-007.jpg

...lol,...huyo wa pili kulia cheki anavyo blush!...hahaha...lazima ni mjuzi kuliko mwalimu...wa kwanza kulia
is disinterested...na huyu mvulana i bet bado virgin!

well...muuliza swali....sex sio love!..kama njaa na kula, ni vitu viwili tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ni wajibu wa wanawake ku-master menstrual circles zao kuliko ulivyo wa wanaume....!

Ni wajibu but should man at least be knowledgeable about his woman's cycle regardless of what family planning option they use? Hiyo knowledge si inaweza kusaidia for better communication with their female partner and to a more harmonious relationship?

Of course baadhi ya wanaume wana negative attitude about menstrual cycles and women may partially carry the blame. A man may want to learn about your cycle from you as his partner, lakini ukimwambia ni wajibu wako pekee, when you tell him you're in your period utasikia "Eww."
 
Ni kwelli wanaume wanapaswa kufahamu kuhusu circles za wake zao,itapunguza viugomvi vya hapa na pale....!
 
Ni wajibu but should man at least be knowledgeable about his woman’s cycle regardless of what family planning option they use? Hiyo knowledge si inaweza kusaidia for better communication with their female partner and to a more harmonious relationship?

Of course baadhi ya wanaume wana negative attitude about menstrual cycles and women may partially carry the blame. A man may want to learn about your cycle from you as his partner, lakini ukimwambia ni wajibu wako pekee, when you tell him you’re in your period utasikia “Eww.”

EMT sasa nani anaetakiwa kuanzisha hayo maongezi kuhusiana na siku za mwanadada? Mwanaume au mwanamke?
 
97% men have fixation on girls because of sex
97% of girls have fixation to men because of social protection
Kwa hiyo kama wewe ni mwanamke unaweza kuona hivyo because you can not stand on men's shoes. Tuliumbwa jinsia tofauti na tutakuwa na perception tofauti kwenye mambo ya mapenzi millele
.
 
EMT sasa nani anaetakiwa kuanzisha hayo maongezi kuhusiana na siku za mwanadada? Mwanaume au mwanamke?

Wote. Two way, not one way, communication. Hata hivyo, when women communicate information about their cycles to their male partners, it can have a positive affect on relationships. Au?
 
Wote. Two way, not one way, communication. Hata hivyo, when women communicate information about their cycles to their male partners, it can have a positive affect on relationships. Au?
I think it depends.
First on the level of commitment, uelewa wa jamaa na kama anajali au la. Wale ambao mahusiano yao sio exclusive, kwa wale ambao jamaa sio mwelewa au hajali hayo maongezi yanakosa maana.

Wewe kama wewe unaweza ukawa wa kwanza kumuuliza mwenzako?
 
sex ina play part kubwa sana kwenye mapenzi, ikitumiwa ipasavyo, na kinyume chake pia
 
Back
Top Bottom