Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,292
Baada ya Muswaada wa Sheria ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2011 umekua sheria baada ya raisi Kikwete kutia saini. Sasa chakunishangaza ni kua Kikwete anauliza eti mwenye maoni kuhusu muswaada wa katiba anaruhusiwa milango iko wazi! Hivi hili swali alitakiwa aulize kabla ya kuusaini au baada ya kusaini? wakuu naomba msaada wa hili swali isije kua Jk hajui anaongoza nchi ipi! Nawasilisha.