PAMBA1
Member
- Sep 13, 2011
- 55
- 26
nashangazwa sana na matangazo yanayotangazwa na radio clouds fm kuhusu miaka hamsini ya uhuru,hivi hiyo pesa iliyolipia matangazo hayo ya kila mala si niyawalipa kodi masikini wa tanzania.halafu tunaradio ya taifa TBC kazi yake ni nini mpaka tunatumia radio binafsi au clouds fm na watangazaji wake kina mchomvu,suka, seba,na kibonde wanajua uhuru ulivyopatikana kuliko watangazaji wa tbc kina malinyi hasan na wenzake