[h=2]Hivi profession ya nape ni nini?![/h]
Ningependa hili swali alijibu alafu twende tukajadili ya gemedari ULIMBOKA.huyu jamaa anapata wapi kuhoji taaluma ya udaktari wakati hajui watu walisotea vipi hiyn dr,? Anatembea na gari la mamilioni ya shilingi kwa lipi analolifanyia taifa?hebu tujadili hili,..huyu nape akikosekana kwenye hii taifa tutakua tumekosa nini labda au tumepoteza nini.?