Hivi profession ya Nape ni nini?!

ndugu yangu nqpe kumbe bado hujui siri za magamba japo upo mstari wa kukashifu madaktari, magamba hawana upendo wa kweli kaka, usione wamekupa shangingi ukajiona wewe ni nambari wani wa ukweli, si kweli! wakipoteza maslahi na wewe watakubadilikia na hatakuba kukufanyia zaidi ya yaliyomkuta shujaa ulimboka. inasemekana hata marehemu babako akifufuka leo kamwe hawezi kubaki magamba kwa yaliyomkuta. kaulize kolimba family, kwa taarifa yako hata wewe wanakutumia kama mshumaa.so kuwa makini na lugha zako
Nape kanyaga twende. Usiwasikilize hao wahuni wa CDM wanataka kukudivert maana walishajua ww ni Jembe ukiwafuata watakavyo chama kitapwaya
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.

Nape kwani wewe na maji marefu na lusinde ni ndugu??? Maana mpo mpo tu hamuelewekagi au mna ........
 
huyo hana proffession yeote ni poyoyo tu hana jipya tena wanaume wakiongea na proffession zao yeye inatakiwa akae kimya asubiri 2015 ang'olewe
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
ccm mmekusudia kutesa wakristo, unyama wote unaofanyika wanafanyiwa wakristo.NYINYI CCM NA CUF baada ya uchaguzi wa 2010 viongozi wa kuu walikuwa wanalalamika udini na viongozi wenyewe ni waislam, Lakini siku zinavyokwenda tunaona makanisa yakichomwa hamfanyi lolote, mahakama ya kadhi mnairuhusu, umasho wakifanya maandamano hamwagusi kwa kuwa ni waislam, huyo doctor kwa kuwa ni mkristo ndio maana mmemteka, na yule polisi uchwara aliyekamatwa pale muhimbili anaitwa Abeid,Hii serikali ya awamu ya nne imejikita kuliuwa kanisa,viongozi kulalamikia udini wakati wao ni wadini fulani alafu baada ya muda wa dini nyingine wanaanza kuteswa.
 
Mbona huulizi proffession ya Mbowe? Ana ofisi, gari la ofisi ya Bunge, Mshahara n.k. Mtaje daktari anaepata malipo sawa na Mbowe. Try to be more Analytical!!!!
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.

Nape unachozungumza kina mantiki lakini zipo serikali unazoweza kutumia njia mbadala ya kistaarabu lakini siyo unapodai haki kwa serikali hii ya chama chako. But al in all, your days you guys are numbered very very numbered. Take it from me. Watanzania wa leo siyo wa jana. Wanatambua fika kwamba madai ya madaktari ni ya msingi na wameamua kutumia njia ya kugoma kwa sababu hawaoni utashi wa viongozi wa serikali wa kushughulikia madai yao ambayo yanawahusu hata wagonjwa wenyewe. Hasira hizo za watanzania zinaendelea kuaccumulate na mwisho wa siku zitaibukia kwenye sanduku la kura ifikapo 2015.
 
Unataka kumuajiri? Tangu lini jamii forum imegeuzwa kuwa database ya CV za watu? Please try to be of a contribution to your society.
 
Labda alisoma kozi moja na Prof. Maji Marefu!

Hivi prof maji marefu sio Mtanzania...?

Unajua kuna watu wangapi wenye elimu ya kiwango chake nchini...? Hivi mnadhani CCM ni wajinga au hawakuona hao wenye Phd wa kuwawakilisha? Na hii ndio sababu CCM inarudi madarakani kila uchaguzi unapofanyika wanajua kucheza karata zao na wanajua siasa safi na chafu pia,nyie mmekazana kuaminisha watu kuwa upinzani na hasa Chadema ni kwa ajili ya wasomi, ni makosa makubwa ndio maana hata 2015,CCM itarudi tena na mtabaki kubishana na kuoneshana nani anajua kubishana kuliko mwingine...
 
Hivi prof maji marefu sio Mtanzania...?

Unajua kuna watu wangapi wenye elimu ya kiwango chake nchini...? ........

Walimu wako wanapata/walipata shida sana kukufundisha. Rudia kusoma comment yangu. Nape ameulizwa Professional yake ni nini, katika majibu yake ili la Professional hakulijibu. Na kama unataka kuiona CV ya Prof. nenda kwenye hii link Parliament of Tanzania
 
andrews,
ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda ccm wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa ccm kutotokea! Hili sina msaada kwao! hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na id zao halisi...sitishwi wala kubabaishwa na vivuli vya watu!!

swala la madaktari!!
sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. Nimesoma hili silionei haya, maana nimesoma si kwa kubahatisha, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, je hakuna njia nyingine ya kudai masilahi yao mpaka kwa kuwaadhibu waliotoa pesa zao kwa njia ya kodi wao wakasoma mpaka kufika hapo? Je ingekuwa ni wazazi wao kwa mfano baba au mamaako wako tayari wawafie mikononi kisa kuna masilahi wanadai kwa serikali??
naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

mnaotaka tujadili karibuni, wale wa matusi na kejeli sina muda mchafu wa kuwajibu.

ivi wewe nape ni nani katika taifa hili? Kusoma kwako kunatuhusu nini sisi watanzania???
 
Unahakika na usemayo?!!?? Unawajua waliomteka na kumtesa Ulimboka?! Tuje kuchukua ushahidi?! Kwanini tusiamini kuwa mmefanya hivyo nyie kwasababu za kisiasa?!! Mwogopeni Mungu!! Uzuri hakuna siri soon itajulikana!!

Better
to remain silent and be thought a fool than to speak out and remove all doubt.
 
what i need from you is short answer ,level of your education and if youneed my phone no is +447787356464 nitaona ujasiri wako ukinipigia tuongee
 
Walimu wako wanapata/walipata shida sana kukufundisha. Rudia kusoma comment yangu. Nape ameulizwa Professional yake ni nini, katika majibu yake ili la Professional hakulijibu. Na kama unataka kuiona CV ya Prof. nenda kwenye hii link Parliament of Tanzania

Nadhani wa kwako ndio waliopata shida,nimemaanisha nilichosema,Nape hajataja proffession ukamkejeli kwa kumuweka kundi moja na maji marefu,kama ambavyo anakejeliwa na kila mtu ambayo ni makosa anawakilisha kundi kubwa sana la watanzania.
 
Andrews,
Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

Swala la madaktari!!
Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.

Kweli wewe hamnazo, jibu swali la msingi taja professional yako acha blabla!

hivi unafikiri dr. ulimboka hakuliwa tigo? hahaha, walimla tigo kabla hawajamngóa kucha na meno.....kaliwa tigo yule, hana bikira tena ya tigo kwa kimbelembele chake. nampa pole.
 
Nape kwanza nakupa pongezi kwa kujitokeza kwako mara kwa mara humu jamvini,umekua na tofauti na magamba wenzako ambao wanakaa kimya.Nape,inawezekana kweli umesoma lakini bado haujaelimika kwani kuna tofauti kubwa sana kati ya kusoma na kuelimika.Hata mimi mara nyingi nimekuwa najiuliza kama kweli hiyo post uliyo pata imetokana na uwezo wako wa elimu au ni fadhili za ccm kwa marehemu baba yako,maana hii nchi ni ya kupeana tu.

Ebu fuata usemi wa wana falsafa usemao ukitaka kuwa mtaalam kaakimya.Nape, kabla ya kuongea chochote chukua muda wa kukitafakari kwanza ndipo useme,wewe uwa unakurupuka sana katika maongezi yako wakati wewe ni kiongozi mkubwa na watu wanatafakari unachosema.

Na kutokana na hilo watu(sio mimi) wanakuita vuvuzela.
Suala la madaktari wewe unalifahamu vizuri na jinsi serikari yako ilivyopuuza sina sababu ya kurudi,na sisi madaktari tunasikitika saaaana kwa jinsi wagonjwa wanavyoangaika na hatukupenda kuwafanja wagonjwa fimbo ya madai yetu ila serikali ndio imetufikisha hapa.

mwambie huyo gamba anayeji ita msomi wakati hata kutumia common sense hawezi...................
 
mwambie huyo gamba anayeji ita msomi wakati hata kutumia common sense hawezi......................

za mwizi ni arobaini kaka afu naona ndo mmebakiza Siku 2........
 
Back
Top Bottom