Weweeee nani kakwambia mbege ni pombe mangi?hii ni chakula bwana ndo maana hadi watoto wanaonjeshwambege ya kibosho ni hatare, pombe pekee ya kienyeji ambayo ninatamani kuinywa hata sasa
December mkija mninunulie mbege niwafundishe kichagaMi mchagga wa mjini mangi. Hyo version yako ya kichagga sijaipata fresh....wapi hyo ??
Mimi ni mchagga lkn nimezaliwa mjini sikijui vizuri hicho nimechanganya kimarangu na kikibosho
Proud indeedNa hio k*ma yako safi ?? Hebu tuondolee mpapa huo....ch*ko bast*rd !!
Don't go f*ckn around wit one of the most respected communities in the country.
Proudly Chagga.
Proud indeed
dede te nyinda mbon ting mae mikuInatumika mchanganyiko wa ndizi, ulenzi na mti wa ISESEWE kwa wachaga wanalijua hususani huyo sweet mangi hapo nikki wa pili
eka kyaa kwashikumbura masama fo kyenMbege ni habari nyingine kabisa kaa mbali...kwanza sio pombe mbege ni chakula na kinarutubisha mwili na akili
Hahaaahaa kukaaa wa sehemu kiieka kyaa kwashikumbura masama fo kyen
Duuu kumbe ni hivyoNdizi-mnyeng'edhe, inguve/kimalindi,mhoyo,kibungara..
Kimea-unga wa ulezi ulioteshwa
-Ndizi zinachanjwa kuondoa utomvu na kuwekwa darini( kali) siku 5-7 ili ziive
-Ndizi zinamenywa na kupikwa hadi ziwe na rangi ya pink iliyokoa kuonyesha zimeiva
-Zinahifanyiwa kwenye pipa na unatanguliza mseseve/mokuta kesho yake zinawekwa maji kulingana na kiasi (iibadha)na siku ya 3 inakamuliwa (itambwa na stage hii inaitwa ktambwa/kfuuve) na ina sukari,halafu inawekwa kimea kilichopikwa ili ichachuke tayari kwa kunywewa kesho yake
-Maji yanapokuwa mengi wakati wa kuikamua ndo pombe nayo inakuwa nyepesi na wingi wa unga pia unafanya pombe inakuwa nzito na wingi wa sambo(layer ya mbege kwa juu)
-Wengine wanapenda kunywa kuongeza unga Mbichi/ulopikwa(ifoya) wengine hawapendi
-Kuna sehemu nyingine wanakamua na kunywa siku hiyo hiyo...hii sio mbege original...lazima iwe imechachuka na iwe na stimu kiasi chake
wamaa piu mmeku... shaa! Kosha mangiNdizi-mnyeng'edhe, inguve/kimalindi,mhoyo,kibungara..
Kimea-unga wa ulezi ulioteshwa
-Ndizi zinachanjwa kuondoa utomvu na kuwekwa darini( kali) siku 5-7 ili ziive
-Ndizi zinamenywa na kupikwa hadi ziwe na rangi ya pink iliyokoa kuonyesha zimeiva
-Zinahifanyiwa kwenye pipa na unatanguliza mseseve/mokuta kesho yake zinawekwa maji kulingana na kiasi (iibadha)na siku ya 3 inakamuliwa (itambwa na stage hii inaitwa ktambwa/kfuuve) na ina sukari,halafu inawekwa kimea kilichopikwa ili ichachuke tayari kwa kunywewa kesho yake
-Maji yanapokuwa mengi wakati wa kuikamua ndo pombe nayo inakuwa nyepesi na wingi wa unga pia unafanya pombe inakuwa nzito na wingi wa sambo(layer ya mbege kwa juu)
-Wengine wanapenda kunywa kuongeza unga Mbichi/ulopikwa(ifoya) wengine hawapendi
-Kuna sehemu nyingine wanakamua na kunywa siku hiyo hiyo...hii sio mbege original...lazima iwe imechachuka na iwe na stimu kiasi chake
Hapana hawa wanakunywa huku sio kuonja khaaaaa!!!Kweli mkuu ila sio kama hawaView attachment 444237