Hivi nyie ni Akina Dada kweli au...?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,725
Nina Mashaka sana kama tuna Akina dada/wanawake humu ndani ya jamvi. Kuna watu wanajifanya wanawake, na kisha wanaishia kuwazingua akina Chrispin, Masanilo, Nguli, Fidel180, Geoff na Wakware Wengineo waliobobea kwa kupenda Avatars!.
Hebu tazama mabandiko yafuatayo:

Jamani nimecheeeeeeka ..hivi kweli utataka ujue huwa anafanyiwaje kama anapewa kisamvu cha kopo na wewe utaamua kumfanyia mkeo ili asiend huko anakoenda
-- Firstlady

na sisi tukitoka nyumba njia nzima tusipoitwa au kutongozwa tyunaenda kwa wanganga kwa nini? usiposemesha na mwananume ukirudi unajiangali una kasoro gani?jamani hata bibilia imesema kuwa mwanamke ni pambo hivyo hakuna jinsi inabidi tukubali yatokanayo tu.
Kwakuwa usipotongozwa utasema unagundu,
Usiposemeshwa na mwanaume itabidi ujiangalie kwenye kiooo
Why?????kwa nini?twawasingizia wanaume kuwa ndo wasumbufu????
-- Chaku

We! kwa hiyo unataka kuniambia mimi natamani hicho kitovu hata siku moja,nikitokea hapo utashikwa kigugumizi.
--Joyceline

Kuna wengine kibao kama akina Maria Roza, VeraCity, Pretty, WoS, Nyamayao, Agika, Msindima etc, ambao mimi binafsi nina`doubt sana ujinsia wao, japo wameamua kujitambulisha kuwa wao ni -ke!

Kama akina dada mpo, basi mnisamehe,... tucheke tunenepe, wikiendi hii jamani, lol!
 
Afadhali binamu utusaidie kuwaweka sawa, manake hawajui matatizo wanayotuletea. Wengine tunashindwa kuchomekea mashati kwa visa vyao. Sijui wanatutakia nini hawa watu.
 
Humu wakina dada wapo, na mimi mmojawapo. ILa sidhani kama kweli humu JF watu wanatumia gender tofauti na walizonazo, kama wapo watakuwa wanajidanganya wenyewe.
 
Humu wakina dada wapo, na mimi mmojawapo. ILa sidhani kama kweli humu JF watu wanatumia gender tofauti na walizonazo, kama wapo watakuwa wanajidanganya wenyewe.

Lol! NiPM basi darling. I will be running while you are jogging.
 
penye ukweli ..uongo hujitenga,uongo unapita lakini ukweli unadumu.
 
Nina Mashaka sana kama tuna Akina dada/wanawake humu ndani ya jamvi. Kuna watu wanajifanya wanawake, na kisha wanaishia kuwazingua akina Chrispin, Masanilo, Nguli, Fidel180, Geoff na Wakware Wengineo waliobobea.

hivi shemasi,
unaona hilo bandiko lilivyotuvua nguo?
mimi nimeripoti kwako,ili wewe umwambie mchungaji tufanye nin........
 
hivi shemasi,
unaona hilo bandiko lilivyotuvua nguo?
mimi nimeripoti kwako,ili wewe umwambie mchungaji tufanye nin........

Kweli katekista, hapa inabidi mchungaji ahusishwe. Manake huyu jamaa hachelewi kutuhisi kuwa sisi ni masista, akatuzuga na ukware. Tatizo mchungaji leo kalitelekeza kanisa.
 
Kweli katekista, hapa inabidi mchungaji ahusishwe. Manake huyu jamaa hachelewi kutuhisi kuwa sisi ni masista, akatuzuga na ukware. Tatizo mchungaji leo kalitelekeza kanisa.

mimi nahisi mchungaji anabeba boksi,sasa kalala si unajua uchovu?
 
Back
Top Bottom