Hivi nyie ni Akina Dada kweli au...?

1.Swali ni kwa nini um-jurge mtu

2. Huna kazi nyingine ya kufanya

3.leo sijui niende kujiburudisha wapi hii weekend :)
 
1.Swali ni kwa nini um-jurge mtu

2. Huna kazi nyingine ya kufanya

3.leo sijui niende kujiburudisha wapi hii weekend :)

Nenda Kigamboni. Kuna zoo moja nzuri sana. Tunaweza kukutana huko huwezi jua. Ukiona handsome boy mmoja mwenye athletic figure ujue huyo ndio Chris wako.
 
Nenda Kigamboni. Kuna zoo moja nzuri sana. Tunaweza kukutana huko huwezi jua. Ukiona handsome boy mmoja mwenye athletic figure ujue huyo ndio Chris wako.

atakukuta kipepeo shemasi.
huyu dem ni BONGE LA BAUNSA,NA MANYOYA KIAO KAMA FARASI
 
atakukuta kipepeo shemasi.
huyu dem ni BONGE LA BAUNSA,NA MANYOYA KIAO KAMA FARASI

Ahsante shemasi. Nashukuru kanisa letu tumejaliwa vipaji vingi. Chako cha maono, changu cha utabiri, Mchungaji cha maombi na kunena kwa lugha.
 
Point taken. Katekista niko naye beneti. Si unaona anvyonipigia ndogondogo. Halafu nilisahau kukuuliza. PJ are she or he?

Aaaaaaaaarghhhh!!

Ntake radhi Chrispin!

Ninaheshimika sana na jamii inayonizunguka!

Nashukuru wengi wao si members wa JF, vinginevyo wangeliona swali hili wangenidharau! he...he...hee!!!

Mi ni he bana!
 
Aaaaaaaaarghhhh!!

Ntake radhi Chrispin!

Ninaheshimika sana na jamii inayonizunguka!

Nashukuru wengi wao si members wa JF, vinginevyo wangeliona swali hili wangenidharau! he...he...hee!!!

Mi ni he bana!

Lol Afadhali, sasa mjadala wetu unaweza kuendelea kwa amani. Mpaka sasa he wanaongoza. She wanasepa, waoga kama swala mbele ya simba. Hahahaha!
 
1.Swali ni kwa nini um-jurge mtu

2. Huna kazi nyingine ya kufanya

3.leo sijui niende kujiburudisha wapi hii weekend :)

FL1,
QI:
Kwa maana ya ku`judge niijuayo mimi, Hakuna mtu aliyekwisha kuwa judged hapa. Kikubwa ni swali linaulizwa, baada ya mimi kuhisi doubts.

Nadhani unakubaliana na mimi kuwa kuuliza si ujinga!

Q2:
Nina kazi nzuri sana ya kuajiriwa, na muda huu niko ofisini nachapa kazi1
Q3:
Hapa sina comment , ungekuwa hapa Lindi sehemu nzuri ya kwenda kwa huku ni Baharini tu. Enjoy your w/end/
 
Kweli mkuu unachapa kazi kama mimi navyochapa hapa huku najimwaga na JF kiaina. Swali la tatu nimeshamjibu, tatizo lake mwoga.
 
First Lady,
Leo niko Dar shost baada ya miaka kama 7 hivi nitakuwa na baadhi ya mashoga zangu kawe klub kuanzia saa tisa karibu tujumuike.
 
NiPM basi. Naona PJ anataka kukorofisha mipango yetu.

Hamna, mi ni silent Observer! Niko hapa kwaajili ya kusawazisha pale ambapo mtakuwa mnaenda ndivyo sivyo!

Yaani niko kama Catalyst vile!

Taratibu dada Natasha eeh, Crispin yuko single, na wala hanaga shida ya hela hizi ndogondogo!
 
Back
Top Bottom