Hivi nyie michepuko mnajiona nyie nani?

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,893
Yaani mwenzenu leo kuna kadada kamenikera sana kanajiona kuharibu ndoa ya mwenzake . Sijui yeye ninani kamfuata mwenzake kazini nakumtafuta uchokozi.

Na akahakikisha atamchukua mume na watoto na hana chakumfanya hata iweje, na kamwambia either uiche ndoa yako mwenyewe au nikuue jamani.

Hivi mtu akiwa mchepuko nguvu alionayo ni ipi?? Inatesa sana . Mtu anakuhakikishia atachukua kila kitu, hata kama ina mbidi amtoe uhai jamani dunia haishi kuwa na mume hadi uwe unaua mke wa mtu kweli hivi nyie michepuko mnajiona nani kwani.

Hamjakutana na vichwa vilivyoungua kweli mnakera
 
Ona wanawake tulivyo wa ajabu. Analia na mchepuko na kumuacha mume aliyeleta hiyo shida ya mchepuko.

Yani mume wala hana kosa kabisa, na wataendelea kuishi vizuri huku akimlaumu mchepuko kwa kutaka kuvunja ndoa yake!

Amkeni jamani, deal na mume wako sio mchepuko. Mpaka mchepuko anafikia stage hiyo amepata support ya kutosha kutoka kwa mumeo.
Inasikitisha sana!
 
Ona wanawake tulivyo wa ajabu. Analia na mchepuko na kumuacha mume aliyeleta hiyo shida ya mchepuko...
Sio wangu huyo mume angeshakuwa kakosa mkono ila hata hao wanawake ni wanaokubali kuvunja ndoa za wenzake ni majangili, mbona mimi nilikataa sikuona hela ni nzuri ila niliona kumvugia mwenzangu ndoa yake aliyoisotea ni mbaya nikasepa.

Hata hao wanawake wanatakiwa kutokubali kuwa michepuko wasumbufu
 
Uwasilishaji wako ni kumlaumu mchepuko sio mume aliyeleta mchepuko ktk ndoa.
Hapo ndipo shida ilipo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom