Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,323
- 18,793
Wandugu naomba mnielimishe hapa....mimi nimejiandikishia Yaeda na nilikuwa nipigie kura kule....kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika kwa sasa naandikia hii thread huku Tandahimba, sasa nasikia naweza kumpigia kura rais wangu Slaa lakini mbunge na diwani ndio hivyo tena....je kuna ukweli katika hili? na kama upo mbona watanzania hatuelimishwi tukaelewa?...nisaidieni nina machungu mwenzenu