Hivi nimekuwa maarufu eeh?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Dah siku hizi naona trend ya watu kutembelea profile yangu imekuwa kubwa! Hivi tangu nimebadilisha jina nimekuwa maarufu eeh?
 
mkuu me niliamua kuonesha msisitizo wa kukutembelea mpaka msm bt ukantosa. ama ndo unalipiza ambavo tulikutosa ulivokuja mza. bt ni majukumu yalibana...
 
Mi sikukutosa jamani, nililala nikaamka muda wa mpira si ndio nimeangalia mpira mpaka late night sijawasha ka laptop wala sikutizama simu. I will make it up to u i promise, [MENTION]chaminglady[/MENTION]
 
mi cna mda wa kuzulula kwenye profle za watu, pm zinatosha bnah.. vp kikao, nije au??

mkubwa!wewe ni wa muhimu sana usikose plz,ingawaje umefulia najua hutowezd kuhaidi wala kutoa mchango wowote zaidi ya ule wa kuniharibha ndoa tu, lakini usiko plz nipo chini ya miguu yako japo sikuchungulii
 
Mi sikukutosa jamani, nililala nikaamka muda wa mpira si ndio nimeangalia mpira mpaka late night sijawasha ka laptop wala sikutizama simu. I will make it up to u i promise, [MENTION]chaminglady[/MENTION]

pouwa, mh me cwez kuangalia who views ma profile cos natumia cm. may b nipate access ya comp... may b na mie kuna watu kibao wanaview ma profile!
 
Dah mamy, hilo wala hata sio swali ndo jibu lenyewe wewe tena!
 
Back
Top Bottom