Hivi ni sahihi kwa mwalimu kumuadhibu mwanafunzi kwa kosa la mzazi kutokufika kwenye kikao?

Ni hilo tu wakuu, hivi suala hili limekaa kaaje kisheria? Kuna mtoto muda huu anamlilia mama yake kwa uzembe wa kutokufika kikaoni huku akijaribu kumuelezea kuwa kesho mwalimu atawavunja vidole kwa fimbo nene nene

Kikatiba imekaaje?
(Mods tulindieni uzi)
Kuna mzazi pale rombo alipigwa stiki na maticha yeye na mwanae na kudekishwa vyoo vya maticha kwa siku mbili kisa kulalamika kama wewe
 
Ni hilo tu wakuu, hivi suala hili limekaa kaaje kisheria? Kuna mtoto muda huu anamlilia mama yake kwa uzembe wa kutokufika kikaoni huku akijaribu kumuelezea kuwa kesho mwalimu atawavunja vidole kwa fimbo nene nene

Kikatiba imekaaje?
(Mods tulindieni uzi)
Kwenye vikao huendi unakuja kufanya vikao jf.
 
Tuchukue uamuzi gani mkuu dhidi ya walimu wa namna hii?
Uchukue uamuzi gani wewe na nani?iko hivi,walimu wanamtuma mtoto akuambie uhudhurie kikao siku fulani,usipotoa udhuru na usipokwenda kikao,walimu wanajua mtoto hakukupa taarifa hivyo anapewa adhabu ili kumkumbusha aache uzembe.

Ila walimu wasichojua ni kwamba kuna wazazi hawajielewi kama wewe,tarifa unapewa na huendi
 
Uchukue uamuzi gani wewe na nani?
Mimi na wewe pamoja na watanzania wote kwa ujumla
iko hivi,walimu wanamtuma mtoto akuambie uhudhurie kikao siku fulani,usipotoa udhuru na usipokwenda kikao,walimu wanajua mtoto hakukupa taarifa hivyo anapewa adhabu ili kumkumbusha aache uzembe.
Mwanangu asipigwe nimesema

Ila walimu wasichojua ni kwamba kuna wazazi hawajielewi kama wewe,tarifa unapewa na huendi
Nasemaje, mwanangu asiadhibiwe kwa makosa yangu
 
Back
Top Bottom