Hivi ni mambo gani mazuri aliyofanya kikwete katika kuwaletea wananchi maendeleo?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
WanaJF,
Nimejaribu kujikumbusha ili nione kama kuna lolote la maana ninaloweza kumsifu jk kwamba ametekeleza katika kuwaletea wananchi wake maendelo lakini mpaka naandika thread hii bado sijapata. Labda wazee mnisaidie.
 
nisingekuwa nipo via mobile ningekutundikia mipicha kibao hapa..
But wewe dont forget few days ago he went to open primary school .your not proud of this also?
 
Alichokifanya Jk mi sikioni maana nchi imezidi kudidimia katka janga la matatizo na mazuri kuwa mengi ndo kipimo cha mafanikio lakini yakowapi?
 
Katika mtazamo wangu sijaona maana mabaya yakuididimiza nchi ni mengi kuliko mafanikio na kipimo kizuri chamsaada wamafanikio ni pale mazuri yanapokuwa mengi.
 
Mengi tu mojawapo ni kupokea Yeboyebo na pikipiki njaa Ikulu, kupokea cheki ya kipekee, kugeuza Ikulu sehemu ya mikutano ya kichama!! na mengineo mengi tuu narudi kuongeza
:msela::msela::msela:
 
nisingekuwa nipo via mobile ningekutundikia mipicha kibao hapa..
But wewe dont forget few days ago he went to open primary school .your not proud of this also?

Kufungua shule ya msingi ndiyo nini? Hivi ni lini mtaacha usanii!! Angeacha safari zake za ki-Vasco dagama, angejenga shule ngapi kama hizo!! Tunashangilia kama mazuzu!
 
Mengi tu mojawapo ni kupokea Yeboyebo na pikipiki njaa Ikulu, kupokea cheki ya kipekee, kugeuza Ikulu sehemu ya mikutano ya kichama!! na mengineo mengi tuu narudi kuongeza
:msela::msela::msela:

nikugongee thanks au nikupe mkononi uondoke nayo kabisaa
 
nisingekuwa nipo via mobile ningekutundikia mipicha kibao hapa..
But wewe dont forget few days ago he went to open primary school .your not proud of this also?
Shule tuliyojengewa kwa mkopo wa Bil.1 wakati huo tunalipa kampuni hewa zaidi ya Bil. 94 akili matope.
 
WanaJF,
Nimejaribu kujikumbusha ili nione kama kuna lolote la maana ninaloweza kumsifu jk kwamba ametekeleza katika kuwaletea wananchi wake maendelo lakini mpaka naandika thread hii bado sijapata. Labda wazee mnisaidie.

Mimi Binafsi nimepoteza ndugu watatu na family friends wazazi watatu kwa ajili ya huduma mbovu muhimbili. Kibaya zaidi haya madudu EPA, Dowans-Richmond na mikataba hewa yote yamesababisha na yanaendelea kuiangamiza Taifa letu. Masikitiko na majonzi ninayo ila najua wananchi tuna nguvu. Tutamaliza na kupata solution hivi karibuni...
 
Hakuna cha maana alichofanya mkuu....miradi yote aliyozindua ilikua mwendelezo wa rais mkapa.
Chuo cha dodoma hawezi kujivunia chochote maana kimejengwa na pension funds kama vile NSSF, PSPF, PPF, NHIF etc.

Raisi asiyejua kwa nini chi yake maskini atafanya nini sasa?? may be yeye anajua si ni matajiri so haoni la kutufanyia.
 
Mi naona mafanikio ni kwa bodyguard wake tu ambae amejionea karibu nchi zote duniani akiwa ana vascodagaming na mkuu.
 
Hakuna lolote,yuko pale kama picha tu!afadhali tumkabidhi lowasa au mnasemaje wakuu:a s 39:
 
wanajf,
nimejaribu kujikumbusha ili nione kama kuna lolote la maana ninaloweza kumsifu jk kwamba ametekeleza katika kuwaletea wananchi wake maendelo lakini mpaka naandika thread hii bado sijapata. Labda wazee mnisaidie.

umesahau jinsi anavyowatoa vibarakashia..kila post saiv maustaadh tu..nadhan kwenye udini kajitahidi kuwagawa watanzania.
 
Back
Top Bottom