Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 718
- 1,643
Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary (English medium) hadi secondary (both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano (UDSM ni kuanzia laki saba hadi milioni na nusu)
Na kama atasoma private ktk moja Wapo kati ya stage hizo yani mfano (Primary - private) secondary (Kayumba) high school (Private) atapewa mkopo wa asilimia C au D.
Wakuu kuna ukweli wowote katika hilo?
Wajuvi wa mambo njooni mfunguke please.