Elections 2010 Hivi ni kweli Makamba hajaona picha za Ikulu katika Mabango

masharubu

Senior Member
May 5, 2010
155
10
Wana Jamii.

Mimeshangazwa na kauli ya katibu Mkuu wa CCM Mwl. Luteni Makamba ya kwamba hakuna picha za Ikulu katika mabango, hivi haoni ama anafanya kusudi,pale karibu na ofisi ya Tigo pana bango la Taifa Stars na JK mpaka nembo ya Taifa imeonekana, wacha hilo nijuavyo mimi picha zote anazopiga Raisi ni za Ikulu na hata ikitolewa na gazeti lolote lazima iandikwe kwa hisani ya Ikulu, na hayo mabango yaandikwe picha kwa hisani ya wapi?
 
hakuelewa alijua tendwa anazungumzia kikwete yuko pembeni ya white house ndicho alichokuwa ana maanisha Mwl.Makamba
 
ndio tofauti ya wao na sisi[wzungu-usa] angeshajiuzulu kwa kudnganya tumridhika na life letu.
 
ahahahaha...mwalimuuuuuuuuuu..ahhh..MAKAMBA WEEEEEE...haya mwalimu tumekubali...huoni sikuhizi hasa ukichukulia umefunga kiaina unakuwa na swaumu kiasi haya mambo ya msingi huyaoni....TUMEKUSAMEHE KWAKUWA HUJUI UTENDALO
 
tatizo kubwa la makamba he is to much defensive may be coz of his height or what??? hana mda wa kuwatafakari yaliyosemwa? pale kamata kuna picha ya JK na Obama, inampigia kampeni ankal,upuuzi mtupu.
 
Wana Jamii.

Mimeshangazwa na kauli ya katibu Mkuu wa CCM Mwl. Luteni Makamba ya kwamba hakuna picha za Ikulu katika mabango, hivi haoni ama anafanya kusudi,pale karibu na ofisi ya Tigo pana bango la Taifa Stars na JK mpaka nembo ya Taifa imeonekana, wacha hilo nijuavyo mimi picha zote anazopiga Raisi ni za Ikulu na hata ikitolewa na gazeti lolote lazima iandikwe kwa hisani ya Ikulu, na hayo mabango yaandikwe picha kwa hisani ya wapi?

Makamba macho yamepofushwa na rushwa,anachoona ni JK tu, sana sana anakiota kile kibinti alicho baka miaka ya 47, that is Makamba THE RAPIST
 
Kama hii ni kweli, mnafanya nini kuiriport FBI / CIA ??

Kwa nini hampigi picha na kuzipeleka CNN au BBC?

Kwa nini hamuwajulishi Ubalozi wa USA hapo Tanzania ili wainglie kati kuwa Obama anasaidia upande mmoja wa uchaguzi Tanzania?

tatizo kubwa la makamba he is to much defensive may be coz of his height or what??? hana mda wa kuwatafakari yaliyosemwa? pale kamata kuna picha ya JK na Obama, inampigia kampeni ankal,upuuzi mtupu.
 
tatizo kubwa la makamba he is to much defensive may be coz of his height or what??? hana mda wa kuwatafakari yaliyosemwa? pale kamata kuna picha ya JK na Obama, inampigia kampeni ankal,upuuzi mtupu.
Naomba piga picha hiyo hasa aliyopiga na Obama kama ni ya kampeni kweli iweke humu nitaipeleke kwa wanaojali, nitajitolea kuzipeleka kwa gharama yangu please, am not in Dar.
 
Back
Top Bottom