Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

Hivi ukiwa kwenye uhusiano wa kimapenzi huwa unaacha kufanya shughuli zingine na kusimamisha shughuli za maendeleo na kutafuta pesa?!

Tatizo linapoteza focus hasa mkiwa kwenye ugomvi huwa nashindwa hata kufanya kazi aiseeee!!!!!
Inaniuma sana!!
 
Salaaaaaa wana MMU

Miss you all much much!!!

Narejea hapo juu!!!

Nimekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka kadhaa sasa!!!!
Ila sijaona nilicho faidika na haya mahusiano zaidi ya kurudishwa nyuma na hawa the so called men!!!
Mpaka nimeona sasa bora nipumzike niangalie vitu vitatu tuu katika maisha yangu, nayo ni maombi, kazi na kusaka pesa tuuu!!!!!

tushirikishane uzoefu wako katika haya mahusiano ya kimapenzi!!!!!!!

Mie kwangu imekuwa ni waste of my precious time which i will never be able to recover!!!!!!!
Nakupongeza na ninasema ni neema hiyo itumie vizuri na kamwe usirudi tena huko. Wacha watu wanaoendekeza mambo hayo kwa visingizio vingi kujihalalisha kuendekeza mambo ya mahusiano. Hakuna kitu chenye hatari duniani kama mahusiano ya mapenzi wakati unaye uliyemchagua. Siyo kupoteza muda tu bali kila kitu ambacho kingekuwa cha manufaa juu yako, familia yako, taifa lako, bara lako na dunia kwa ujumla kinaathiriwa. Big up nawashauri na wengine wote mnaopitia mtandao huu fanyeni maamuzi haya yenye manufaa.
 
Uhusiano usiokuwa na malengo/mbele wala nyuma ni waste of time and resources ambazo ungetumia mda wako vizuri ungefika mbali sana kimaisha!

Kuna mambo najifikiria mpaka najuta nilikuwa nawaza nini! Kuwa na mtu tu bila sababu, eti for good times ni kujirudisha nyuma sana kimaisha...
 
Tumieni akili si hisia tu, Imagine ikifika hatua unafeli masomo itakuwa ni kwa faida ya nani? pliz msiingie wazima wazima jibakisheni angalau hata kiwili wili ma mikono ili uzamapo upate kutapatapa.
 
Asiakuambie mtu pesa kila kitu,tafuta pesa kila kitu kitakuja chenyewe hata mm niliwahi kuteswa sana na hiyo ila now wanakuja wenyewe na sina time nao
 
HorsePower, Si kweli kwamba ukiwa kwenye mahusiano hayo unaacha sema,kazi,shule,biashara zako nk

Naona kama mtu anatafuta kujifariji kwa makosa alioyafanya yakamletea hayo madhara( visingizio )

Kila kitu kina manufaa yake kikiwa kinafanyika kwa wakati na utaratibu wake ( ni mawazo yangu tu )
 
Last edited by a moderator:

Kwa maelezo ya mtoa mada inaonekana alisimamisha shughuli zake zote wakati wa mahusiano yake, kitu ambacho kimenipa mashaka ya kupata maendeleo au mafanikio endapo ataendeleza staili hii mbaya ya maisha!
 
HorsePower, Kama ingekua ukipenda mtu ukawa namahusiano nae unaacha kila kitu sijui dunia hii kama kungekua na kupendana , na kama kila anaependa anaacha kujishughulisha basi kusingekua na maendeleo kabisa ktk hii dunia,
 
Last edited by a moderator:
HorsePower, Kama ingekua ukipenda mtu ukawa namahusiano nae unaacha kila kitu sijui dunia hii kama kungekua na kupendana , na kama kila anaependa anaacha kujishughulisha basi kusingekua na maendeleo kabisa ktk hii dunia,

Kuna baadhi ya maamuzi ya ndg zangu wengine huwa yananishangaza sana!
 
By Philipo,kusaka Pesa Kupo Tu Na Mapenz Yapo Tu, Huwezi Kuepukana Navyo,Tatizo Ulibase Kwenye Mapenz Sana Pasipo Kujali Future Yako Kuna Msemo Unasema"farasi Ni Moja Kati Ya Usafiri Mzuri Na Wa Araka Sana Lakin Ukithubutu Kuachia Mikono Ktk Mwendo Kasi Imekula Kwako"kwa Uhitaji Umakin,akil Na Sapporter Za Mikono Ili Ufike Salama, Inawezekana Mapenz Kuwa Ni Bora Kuliko Pesa Endapo Utampata Akupendaye Tulia Mama Omba Mungu Atakuchagulia Kwa Kujishika Huko Ukiendelea Na Kaz Zako Za Kusaka Pesa Lakin Saka Kwa Utaratibu Mzuri.!!!!
 
Back
Top Bottom