Hivi ukiwa kwenye uhusiano wa kimapenzi huwa unaacha kufanya shughuli zingine na kusimamisha shughuli za maendeleo na kutafuta pesa?!
Nakupongeza na ninasema ni neema hiyo itumie vizuri na kamwe usirudi tena huko. Wacha watu wanaoendekeza mambo hayo kwa visingizio vingi kujihalalisha kuendekeza mambo ya mahusiano. Hakuna kitu chenye hatari duniani kama mahusiano ya mapenzi wakati unaye uliyemchagua. Siyo kupoteza muda tu bali kila kitu ambacho kingekuwa cha manufaa juu yako, familia yako, taifa lako, bara lako na dunia kwa ujumla kinaathiriwa. Big up nawashauri na wengine wote mnaopitia mtandao huu fanyeni maamuzi haya yenye manufaa.Salaaaaaa wana MMU
Miss you all much much!!!
Narejea hapo juu!!!
Nimekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka kadhaa sasa!!!!
Ila sijaona nilicho faidika na haya mahusiano zaidi ya kurudishwa nyuma na hawa the so called men!!!
Mpaka nimeona sasa bora nipumzike niangalie vitu vitatu tuu katika maisha yangu, nayo ni maombi, kazi na kusaka pesa tuuu!!!!!
tushirikishane uzoefu wako katika haya mahusiano ya kimapenzi!!!!!!!
Mie kwangu imekuwa ni waste of my precious time which i will never be able to recover!!!!!!!
Asante Husniyo umeongea la maana mama!!!
HorsePower, Si kweli kwamba ukiwa kwenye mahusiano hayo unaacha sema,kazi,shule,biashara zako nk
Naona kama mtu anatafuta kujifariji kwa makosa alioyafanya yakamletea hayo madhara( visingizio )
Kila kitu kina manufaa yake kikiwa kinafanyika kwa wakati na utaratibu wake ( ni mawazo yangu tu )
HorsePower, Kama ingekua ukipenda mtu ukawa namahusiano nae unaacha kila kitu sijui dunia hii kama kungekua na kupendana , na kama kila anaependa anaacha kujishughulisha basi kusingekua na maendeleo kabisa ktk hii dunia,Kwa maelezo ya mtoa mada inaonekana alisimamisha shughuli zake zote wakati wa mahusiano yake, kitu ambacho kimenipa mashaka ya kupata maendeleo au mafanikio endapo ataendeleza staili hii mbaya ya maisha!
HorsePower, Kama ingekua ukipenda mtu ukawa namahusiano nae unaacha kila kitu sijui dunia hii kama kungekua na kupendana , na kama kila anaependa anaacha kujishughulisha basi kusingekua na maendeleo kabisa ktk hii dunia,
Kuna wakati katika maisha lazima mapenzi yapewe likizo ndefu....
Tatizo linapoteza focus hasa mkiwa kwenye ugomvi huwa nashindwa hata kufanya kazi aiseeee!!!!!
Inaniuma sana!!