Hivi ni kweli au inategemea!!

Bi nyakomba

JF-Expert Member
Mar 23, 2012
385
104
Hivi ni kweli kuwa mnapoanza mahusiano mapya, mkajikuta mnapeana tam tam mara kwa mara inachangia kuchokana mapema? Hebu tupeane maujanja asee!
 
Kuchokana kwa kutiririshana mjue mmei-nvesti kwenye tiririka tu
Nje ya hapo, hamna kitu cha kupeana.

Hata hivyo Diminishing Margian utility??!!
 
Hakuna kanuni wala mwalimu katika haya, ingawa wengi husema kuwa kuna mambo mengi yanayopelekea kuchokana, mfano:- mama anapozaa, upendo huhamia kwa mtoto, hivyo baba hubaki na nusu, wakati mtoto huenda na nusu. wakati huohuo, macho ya baba huendelea kukinai, kwani macho nayo huanza kupenda kuona vitu vipya, wakati huohuo, mikono (sense organ) huanza kukinai kwani kushika kitu kilekile kila siku, huchosha, hivyo huanza kutamani kushika kitu kipya, na hasa ukilogwa ukaonja nje ya ndoa, basi hapo ndio mwanzo wa kukinai na kuanza kudharau mke wa ndani. Wakati huo huo, mke wa ndani huanza kuhisi tofauti, naye huanza kutafuta support toka nje. naye atakapo onja nje ya ndoa, basi ndoa huanza kuingia doa.
 
kwanza ukae ukijua kabisa hamna mapenzi yanayokuwa mahungu mwanzoni.....kuhusu tam tam kama kweli mwapendana hamna tatizo lakukumbuka ni kwamba itabidi muwe wabunifu....sio kila leo kifo cha mende au kwenye bed tuu
 
Waweza kuwa mbunifu kumbe mwenzio kifo cha mende ndo network yk inakamata sawasawa lol, kila ukipinduka na manjonjo wengine hawafiki mlimani hahahahahaha, but point taken
 
Hakuna kanuni wala mwalimu katika haya, ingawa wengi husema kuwa kuna mambo mengi yanayopelekea kuchokana, mfano:- mama anapozaa, upendo huhamia kwa mtoto, hivyo baba hubaki na nusu, wakati mtoto huenda na nusu. wakati huohuo, macho ya baba huendelea kukinai, kwani macho nayo huanza kupenda kuona vitu vipya, wakati huohuo, mikono (sense organ) huanza kukinai kwani kushika kitu kilekile kila siku, huchosha, hivyo huanza kutamani kushika kitu kipya, na hasa ukilogwa ukaonja nje ya ndoa, basi hapo ndio mwanzo wa kukinai na kuanza kudharau mke wa ndani. Wakati huo huo, mke wa ndani huanza kuhisi tofauti, naye huanza kutafuta support toka nje. naye atakapo onja nje ya ndoa, basi ndoa huanza kuingia doa.

Kuna ka ukweli humu.
 
Kuchokana kwa kutiririshana mjue mmei-nvesti kwenye tiririka tu
Nje ya hapo, hamna kitu cha kupeana.

Hata hivyo Diminishing Margian utility??!!

ni kweli shost usemacho, kina ukweli kwa asilimia kubwa. Nimejifunza kitu hapa. Tanx
 
Waweza kuwa mbunifu kumbe mwenzio kifo cha mende ndo network yk inakamata sawasawa lol, kila ukipinduka na manjonjo wengine hawafiki mlimani hahahahahaha, but point taken

ah usichezee kifo cha mende...lazima demu amwage.....
 
Hakuna ukweli hapo,mapenzi ni kubembelezana,kusikiliza kugombana gombana kutoleana lugha chafu chafu ndio hizo zinazochokesha uhusiano!
 
kama mmekimbilia kurukiana kama factor ya mapenzi, soon things will get sour. mahusiano yanayodumu huwa ni yale yanayojengwa kwene mambo yasiohusu kurukiana. take it from me.
 
...Inategemea na nyinyi wenyewe...wengine tam tam huendelea miaka nenda miaka rudi....ukiwaona hata ya baada miaka chungu nzima ndani ya ndoa/mahusiano utadhani ni newlyweds.

eti mnapoanza mahusiano mapya, mkajikuta mnapeana tam tam mara kwa mara inachangia kuchokana mapema? Hebu tupeane maujanja asee!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la vijana wengi siku hizi wanafikiri mapenzi ni ku****** tu.
Mapenzi ni zaidi ya hicho..
Ukiegemea huko ndo utakuwa mwepesi wa kukinai
 
Kwa mtazamo wangu ni kuwa hamu ya kukutana kimwili huwa ina vary from time to time... kuna wengine mapenzi ni part yao ya maisha, yaani wapo tayari kwa kiasi kikubwa kukutana mara kwa mara. Na pia kwa mtazamo wangu kama mnakutana mara kwa mara siku za kwanza ina maana wahusika wote hilo tendo mwalifurahia na kutaka kufanya tena na tena wenyewe kwa wenyewe on the basis kwamba kama unafanya sex na mtu na you are not enjoying it.. Hutaki kupoteza mda wala kuendelea kuchafuana na mtu huyo. Kwa muktadha huo ina maana ikitokea mlikuwa mkikutana mara kwa mara na ikaja mmechona inaweza kuwa kwa sababu ya hizi baadhi ninazotaja;

- Tabia/attitude za wahusika, unakuta kuwa mnapendana sana katika sex ila kuna tabia nje ya sex za huyo mpenzi zinakera. Mwanzoni ni rahisi ku bypass sababu mara nyingi kuna uvumilivu flani ambao with time ikiendelea kama ilivo ada mwanadamu huchoka hasa kwa kitu cha kum boa. Hio mara nyingi huchangia sana mmoja/wote kuchokana. Tabia ya mtu inachangia sana katika kujenga psychology ya mtu katika kutengeneza ama kuharibu hamu ya sex ya mtu yeyote.

- Kurudia staili zile zile kila siku... yaani hakuna jipya, hakuna creativity, hakuna la ziada zaidi ya kukutana kimwili na kufika kileleni. Ikitokea iko hivo kila siku kuna hatari ya kuchokana.

- Relaxation baada ya kuzoeana... mara nyingi watu wengi hu relax, kwa kujiachia... maybe alikuwa anatabia ya kujiweka na mvuto akaacha, utumiaji wa marashi (hasa kwa wanawake) akaacha, usafi (mana wengine hujifanyia usafi wa mwili kwa makini wakati wa penzi jipya kuliko likikomaa).

Na mengine mengi... Walau hayo ni machache yangu.
 
Hivi ni kweli kuwa mnapoanza mahusiano mapya, mkajikuta mnapeana tam tam mara kwa mara inachangia kuchokana mapema? Hebu tupeane maujanja asee!

mi nadhani kuna ukweli, tendo likifanywa sana especially siku za mwanzo uwa inasababisha msisimko uanze kupengua gradually especially kama mnatumia mitindo ile ile eneo lilelile mlilozoea, akili ya binadamu imeumbwa kutaka challenges kufanya life iwe exciting, kama kitu kinafanywa vile vile kwa muda, mwili unazoea na unaanza kufikiria kitu mbadala ambacho kitavutia zaidi, ndo maana unakuta mtu anakuwa na mke/mume lakini haachi kuchepuka kidogo hata kama mke/mume ni mzuri au anampa kila atakacho
 
Back
Top Bottom