Hivi ni kweli au inategemea!!

haya mambo hayana utaratibu ni vile mtu anaamua aishi vipi pia inategemea na msimamo na malengo ya wahusika, kama alitaka kuchovya na kuondoka ndo anakinai haraka.
 
haya mambo hayana utaratibu ni vile mtu anaamua aishi vipi pia inategemea na msimamo na malengo ya wahusika, kama alitaka kuchovya na kuondoka ndo anakinai haraka.

Kweli haya mambo hayana fomula, yote yawezekana.
 
The compatibility of a couple
and the quality of a relationship
lies in the way
they handle their arguments and differences
 
Hivi ni kweli kuwa mnapoanza mahusiano mapya, mkajikuta mnapeana tam tam mara kwa mara inachangia kuchokana mapema? Hebu tupeane maujanja asee!

Inaweza kusababisha kuchokana au kujenga uhusiano.
Kwa kuongezea tu inaweza kuchelewesha ndoa "Why keep a cow while I get milk" by ........
 
Inaweza kusababisha kuchokana au kujenga uhusiano.
Kwa kuongezea tu inaweza kuchelewesha ndoa "Why keep a cow while I get milk" by ........

Umenena vyema. Huu nao ushauri za mbayuwayu ntachanganya na zangu
 
Back
Top Bottom