Jaribu kuishi nae uone kama utamu utakuwepoKuna kale ka taste fulan....
Kubembelezana and likes..💚💛
Vinavyokatazwa hua ni vitamu sana.
Chipsi, bangi, pombe, michepuko nk....
Wezi hao mda wowote unaibiwaKuna watu wanajua kutuni tyunii..mzee yani sauti inakua ni tamuu
Hii week umeitenga kwa ajili ya kunanga😃Huu Uzi umejaa manjegeka
Nacheka na sijui manjegeka ni nini?Huu Uzi umejaa manjegeka
Ni matamu kwasababu huishi nae
😂😂una viashiria vya genye kibao😜Nacheka na sijui manjegeka ni nini?
No...we huoni unaamshaamsha balaaHii week umeitenga kwa ajili ya kunanga😃