Hivi ni kwaninni kuwasiliana na michepuko ni kutamu zaidi na kunanoga?

Hata main chick wako, sijuo mke wako...naye kwa mwanaume mwingine sauti yake ni tamu, inabembeleza, inajali and so many others....subiri ugundue mchumba/mke wako anavyonyegesha kwa jamaa mwingine ndo utaelewa mambo yanavyokwenda
 
Back
Top Bottom