kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,733
Huwa wanajikuna-kuna sana hata pasipowasha, na pia kujipangusa-pangusa sana hata pasipokuwa na uchafuHii inanikumbusha kisa kimoja kilicho wahi kutokea huko Uganda, kuna Waziri au mbunge alijiuzuru baada ya kugundulika kwamba aliwasilisha kweye record za bunge CV yake ya kupikwa ilijaa vyeti na wafisu fake, sasa sijuhi hapa kwetu kama utamaduni huo hupo.
Kuna wakati fulani Mh.Dr. Mwakyembe alilizungumzia swala hili Bungeni, kwamba watu walio na vyeti vya kupikwa wachukuliwe hatua kali - lakini kwa bahati mbaya hakuna aliye mchukulia seriously imebaki ni business as usual. Hivi watu kuwa obsessed na u-Dr,Dr,Dr kwani PhD ina nini zaidi, actually Degree ya PhD inawafaa ma-academician basi.
Mimi sina tatizo na honorary Degree inayotolewa na Vyuo Vikuu vinavyo tambulika - hiyo sawa, lakini hivi vya kupatikana kwenye mitaa ya Chicago na New Delhi ndiyo vinatia shaka sana - we jaribu kuangalia body laugauge ya jamaa hawa wenye vyeti fake wanapo jitambulisha - utaona hawako comfortable kuwa addressed na title hiyo - the guility are always afraid.