Hivi ni kwanini huyu mama anajiita Dr. Mary Mwanjelwa?

JATELO1

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,230
301
WANAJF;
Ninaomba kufahamishwa ni kwanini huyu Mary Mwanjelwa anajiita Dr.? tena hata kwenye CV yake ya Bungeni anasema yeye ni Dr., wkt hata BA wala Masters Degree hazieleweki alizisomaje? CV yenyewe ni utata mtupu. Hivi ni kwanini viongozi wetu hawaoni shida kudanganya ktk mambo ya msingi kama Elimu. Kwa kweli hii hali inanisikitisha sana. Ebu jionee mwenyewe CV yake hapo chini huyo anayejiita Dr. Mary Mwanjelwa.

SalutationHonourableMember picture
1579.jpg
First Name: Dr. Mary
Middle Name:Machuche
Last Name:Mwanjelwa
Member Type:Special Seat
Constituent:No Constituency
Political Party:CCM
Office Location:Box 72140, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 787 032800/+255 767 032800 begin_of_the_skype_highlighting +255 767 032800 end_of_the_skype_highlighting
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Muungano Primary SchoolPrimary Education19711977PRIMARY
Sangu Secondary School, MbeyaO-Level Education19781981SECONDARY
Siha Secondary School, MoshiA-Level Education19821983HIGH SCHOOL
Institute of Management & Information TechnologyAdvanced Diploma20012004ADV DIPLOMA
Institute for Diplomacy & International Relations , Kurasini Dar Es Salaam
BA2006
GRADUATE
St. Augustne University of TanzaniaDegree (Mass Communication)2009MASTERS DEGREE

CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat20102015
Population Services International (PSI) TanzaniaDirector20062010
Placer Dome Tanzania (Gold Mine)Manager - Liason & Corporate20012005
Two Wings Pegasus Ltd - TanzaniaManager20002001
Parastatal Sector Reform Commission (PSRC), TanzaniaAssistant Information Officer19992000
Agakhan FoundationAdministration Officer19981998

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee20072012
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - UWT National Board2007
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Regional General Council2006

PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "Mobilising Women in Tanzania for Election & the Empowerment" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam.2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Role of Communication in Enhancing the Political Participation of Women" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Plight of Women in Economic Struggle & a Case of Tanzania Women & Leadership", Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam2010

SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level
No items on list

RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by
 
Hicho ndo kikosi cha magamba huku prof maji marefu kule Dr mwanjelwa dr kikwete nurse Salma nk

waache tu vuta subira Comrade mwisho wao umefika
 
Hapa kuna kitu hakieleweki. Chuo cha Diplomasia kilichoko Kurasini, Dar es Salaam hakijawahi kutoa digrii tangu kuanzishwa kwake miaka ya 70. Sasa hiyo mwenzetu kaipata wapi? Ina maana huko Bungeni hakuna kuhakiki wanachopokea, imekuwa ni pipa la taka. Hata nakala za vyetu hawataki kuziona? Isitoshe, hakuna chuo chochote Tanzania kinachotoa digrii katika kipindi ya miaka miwili tu ya masomo. Kuna kitu hapa hakieleweki. Mengine na vyuo vingine hivyo sijui. Lakini chuo kilichotoa PhD mbona hakitajwi. Tanzania bwana!
 
hapa kuna kitu hakieleweki. Chuo cha diplomasia kilichoko kurasini, dar es salaam hakijawahi kutoa digrii tangu kuanzishwa kwake miaka ya 70. Sasa hiyo mwenzetu kaipata wapi? Ina maana huko bungeni hakuna kuhakiki wanachopokea, imekuwa ni pipa la taka. Hata nakala za vyetu hawataki kuziona? Isitoshe, hakuna chuo chochote tanzania kinachotoa digrii katika kipindi ya miaka miwili tu ya masomo. Kuna kitu hapa hakieleweki. Mengine na vyuo vingine hivyo sijui. Lakini chuo kilichotoa phd mbona hakitajwi. Tanzania bwana!

yaani nchi yetu imekuwa ya hovyo sana, sorry to say that. Kwani hakuna nchi yoyote duniani utakayokuta mtu kujiamulia na kujiita professions asiyo nazo na mbaya zaidi inaoneokana hadi kwenye tovuti ya bunge la jamhuri ya muungano. Hivi hatuna hata kamati ya maadili na kuhakika uhakika wa vyeti na shule zao hawa watu? Hakika hakuna nidhamu kila idara kuanzia kwa mkuu mpaka kwa wanaofuatia. Kwa utaratibu huu utategemea maadili katika utendaji wao wkt wote ni waongo wasiozingatia maadili na hawana uaminifu wowote? Kwa mazingira haya kwanini tusiwe tunavunja baraza la mawaziri mara kwa mara na kuunda kubwa na mbaya zaidi? Hakika naililia nchi yangu tanzania.
 
Huenda ni udaktari wa heshima. Tuambiwe kama ni hivyo ametoa mchango gani kwa jamii hadi kutunukiwa heshima hiyo? Vinginevyo ni yaleyale!
 
mambo haya yananikumbusha mbali sana,mnamkumbuka yule bwana alkua akijiita DR. Rutta nelson? Hiv yupo wapi siku hiz? Aliwahi kudai yy anajiita dokta sababu watu wangi walikua wanapenda kumuita hivyo kwahiyo nayeye akaona ajiite na akagombea uongozi kwa 'taito' hiyo. Sasa bungeni kumekuwa na fasheni hiyo ndo maana kina dr.mwanjelwa,prof.majimafupi nk hawaishi. Hata wale madaktari wa heshima wanaopenda sana kutu 'taito' hiyo ni wale waliokuwa dhaifu darasani.
 
Huenda ni udaktari wa heshima. Tuambiwe kama ni hivyo ametoa mchango gani kwa jamii hadi kutunukiwa heshima hiyo? Vinginevyo ni yaleyale!

Sasa Mary Machucho ana heshima gani mpaka apewe digrii ya heshima? Huyu si ndiyo yule malaya mwizi ea mataulo?
 
WANAJF;
Ninaomba kufahamishwa ni kwanini huyu Mary Mwanjelwa anajiita Dr.? tena hata kwenye CV yake ya Bungeni anasema yeye ni Dr., wkt hata BA wala Masters Degree hazieleweki alizisomaje? CV yenyewe ni utata mtupu. Hivi ni kwanini viongozi wetu hawaoni shida kudanganya ktk mambo ya msingi kama Elimu. Kwa kweli hii hali inanisikitisha sana. Ebu jionee mwenyewe CV yake hapo chini huyo anayejiita Dr. Mary Mwanjelwa.

SalutationHonourableMember picture
1579.jpg
First Name: Dr. Mary
Middle Name:Machuche
Last Name:Mwanjelwa
Member Type:Special Seat
Constituent:No Constituency
Political Party:CCM
Office Location:Box 72140, Dar Es Salaam
Office Phone: +255 787 032800/+255 767 032800 begin_of_the_skype_highlighting +255 767 032800 end_of_the_skype_highlighting
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth
EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award Start DateEnd DateLevel
Muungano Primary SchoolPrimary Education19711977PRIMARY
Sangu Secondary School, MbeyaO-Level Education19781981SECONDARY
Siha Secondary School, MoshiA-Level Education19821983HIGH SCHOOL
Institute of Management & Information TechnologyAdvanced Diploma20012004ADV DIPLOMA
Institute for Diplomacy & International Relations , Kurasini Dar Es Salaam
BA2006
GRADUATE
St. Augustne University of TanzaniaDegree (Mass Communication)2009MASTERS DEGREE

CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No. IssuedExpires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name Position From DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Special Seat20102015
Population Services International (PSI) TanzaniaDirector20062010
Placer Dome Tanzania (Gold Mine)Manager - Liason & Corporate20012005
Two Wings Pegasus Ltd - TanzaniaManager20002001
Parastatal Sector Reform Commission (PSRC), TanzaniaAssistant Information Officer19992000
Agakhan FoundationAdministration Officer19981998

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - National Executive Committee20072012
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - UWT National Board2007
Chama Cha Mapinduzi, CCMMember - Regional General Council2006

PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "Mobilising Women in Tanzania for Election & the Empowerment" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam.2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Role of Communication in Enhancing the Political Participation of Women" Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam2009
Dr. M. Mwanjelwa: Political Handbook, "The Plight of Women in Economic Struggle & a Case of Tanzania Women & Leadership", Fridrick Egbert Stiftung (FES), Dar Es Salaam2010

SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level
No items on list

RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by

Itakuwa alijipatia udokta baada ya kufanya kazi PSI; kusambaza c*ndomu na neti kulimfanya ajione sawa na madaktari wengine waokoa maisha ya binadamu!
 
Hapa kuna kitu hakieleweki. Chuo cha Diplomasia kilichoko Kurasini, Dar es Salaam hakijawahi kutoa digrii tangu kuanzishwa kwake miaka ya 70. Sasa hiyo mwenzetu kaipata wapi? Ina maana huko Bungeni hakuna kuhakiki wanachopokea, imekuwa ni pipa la taka. Hata nakala za vyetu hawataki kuziona? Isitoshe, hakuna chuo chochote Tanzania kinachotoa digrii katika kipindi ya miaka miwili tu ya masomo. Kuna kitu hapa hakieleweki. Mengine na vyuo vingine hivyo sijui. Lakini chuo kilichotoa PhD mbona hakitajwi. Tanzania bwana!

Hii inanikumbusha kisa kimoja kilicho wahi kutokea huko Uganda, kuna Waziri au mbunge alijiuzuru baada ya kugundulika kwamba aliwasilisha kweye record za bunge CV yake ya kupikwa ilijaa vyeti na wafisu fake, sasa sijuhi hapa kwetu kama utamaduni huo hupo.

Kuna wakati fulani Mh.Dr. Mwakyembe alilizungumzia swala hili Bungeni, kwamba watu walio na vyeti vya kupikwa wachukuliwe hatua kali - lakini kwa bahati mbaya hakuna aliye mchukulia seriously imebaki ni business as usual. Hivi watu kuwa obsessed na u-Dr,Dr,Dr kwani PhD ina nini zaidi, actually Degree ya PhD inawafaa ma-academician basi.

Mimi sina tatizo na honorary Degree inayotolewa na Vyuo Vikuu vinavyo tambulika - hiyo sawa, lakini hivi vya kupatikana kwenye mitaa ya Chicago na New Delhi ndiyo vinatia shaka sana - we jaribu kuangalia body laugauge ya jamaa hawa wenye vyeti fake wanapo jitambulisha - utaona hawako comfortable kuwa addressed na title hiyo - the guility are always afraid.
 
Itakuwa alijipatia udokta baada ya kufanya kazi PSI; kusambaza c*ndomu na neti kulimfanya ajione sawa na madaktari wengine waokoa maisha ya binadamu!
Mwe mwe mwe mwe!!! unmnyasa nyasa dada wa wenzio! CCM wanaharibu nchi kwa kujipachika elimu wasiyo somea matokeo yake ni kuvurunda kila idara!
 
Kuna ubaya gani huyu dada akijiita ndugu Marry.
Dawa ya hawa watu ni kutowaita dokta, badala yake aitwe dada.
Nina uhakika hatapenda hata siku moja kuwa katika forum moja na watu kama Dkt.Abdala Kigoda, Dkt Mwakyembe,Dkt. Ngwaza Kamata na Dkt Sengondo Mvungi.
Kwa kuwa anaendelea kujiita Dokta,tumwache aendelee.Madokta wa kweli tunawatambua kwa fikra na mawazo yao.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom