Hivi ni kipi kinaanza.??

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Habari wana-JF, sijajua kama ni mahala pake lakn ningependa kuuliza
"HIVI KATI YA MWAKA MPYA NA X-MASS" ni sherehe gani inaanza??
 
Rekebisha maandishi kidogo tu utapata jibu. anza na hivi xmass na mwaka mpya kipi kinaanza?

Ukiargue kwenye western approach pia utapata jibu lakini kwenye eastern fraternity unaanza mwaka mpya ha hakuna x- mass ila Maulid.. ukiruge ki layman huwezi kwenda kwenye x mass kabla ya mwaka mpya maana unaanza mwaka mpya (January) mdio inakuja x mass (Decemba) kwa mtoto anayefikiria wali hali kadhalika ataanza na x-mass then mwaka mpya..upo?
 
Huwezi kwenda kwenye x mass kabla ya mwaka mpya maana unaanza mwaka mpya (January) mdio inakuja x mass (Decemba)

Nadhan jibu ndo hilo mkuu,
 
Back
Top Bottom