Hivi ni haki kumzuia mtoto kufanya mtihani wa darasa la saba kisa ada

Atafanya tu,,siku ya mtihani muandae umpeleke hakikisha ameingia chumba cha mtihani ndo uondoke,,, deni lao utawalipaga mbele kwa mbele
 
Wazazi wanapokubaliana na uongozi wa shule ikiwamo kamati/ bodi ya shule huitwa sheria ndogondogo ( by laws).

Kama mlikubaliana kuchangia mitihani ya ndani ili ichapishwe basi asipolipa hatafanya mtihani huo.
Mtihani wa taifa atafanya bila kikwazo chochote.

Wazazi/walezi mkubali elimu bure inateketeza taifa. Walimu wanapokuwa wabunifu toeni michango hiyo midogomidogo
Haiumizi Bali inajenga mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule gani hyo darasa la 7 wanalipa ada?
Hivi nyiebmnasomeshà ama? Wasiolipa ada ni Kayumba schools private ni ada kama kawa.Jibu swali acha kuonhezea maswali.Jibu,,kama baadhi walivyojibu hapo juu,hairuhusiwi kumzuia mtoto kufanya mtihani,wakijaribu nenda kwa mratibu elimu kata au afisa elimu atawajia na polisi.Madeni yenu mtalipana wenyewe bila kumuathiri mtoto.Kuna shule wanalipisha laki na thelathin elfu eti graduation ,nimewambia siihitaji hyo graduation.

Mbona umetokwa povu
 
Asanteni tumekubaliana na uongozi wa shule, ila tukumbuke kuwa English medium zote ada zinaendelea kama kawaida, jana mkuu wa shule alimrudisha mtoto wakati Leo ni mtihani nilikwenda nikawasikiliza na nikaongea nao wakaelewa kuwa sasa hivi usawa mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom