Hivi ni dalili zipi za mtu alopewa limbwata?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,644
30,007
Kuna Mtu kasema asilimia 70 ya wanaume wamepewa limbwata, akasema kama unabisha fanya uchunguzi, akasema

1.Tabia ya mwana mke kuingia ndani saa zaid ya nne usiku alafu mwanaume kashalala na haulizwi chochote

2.Mwanaume kutoka safari anaambiwa chakula kipo hapo kwenye pot jipakulie wakati mke anaangalia TV au anaendelea na ishu zake nyingine

3.Watoto wanafanya makosa anasema subiri mama yenu aje anaua mtu , inamaana watoto washaona kwamba baba si kitu

4.Kukoromewa na mke kwenye kadamnasi ya watu, na mwanaume akaufyafa

5.Kushika simu ya mwana mke akakukaripia ukaiacha na kusema bebi hutaniwi? Wakati simu umenunua wewe dah

6.Kukupangia ratiba kwa kukuelekeza wakati unauwezo wa kujipangia

7.Mwanamke ndo anapanga nani wa kukutembelea nyumbani wengine hawaruhusiwi kukanyaga hata kama ni ndugu,

8.Mwanamke anakulazimisha kuwachukia wote ambao kachukiana nao yeye wakati hujui hata ugomvi umeanzaje

9.Mwanamke kujipangia duka la kununua vitu ,kwamba ni lazima tuwe tunanunua kwa fulani,

10.Unapata mshahara wote unamkabidhi yeye kwanza alafu anakugawia ya kutumia kidogo,

11. Mwanamke ndo msemaji wa familia hata kama mnapanga mara zote ndo anatoka nje kukabiliana na mwenye nyumba suala la malipo ya kodi au umeme,

12.Mwanaume ambaye kila saa yuko jikoni, sisemi majiko ya kizungu,yale ya kuni kila wakati anasogeza sogeza kuni wakati mke wake yupo tu

13.Mwanamke ni mlevi kuzidi au kupindukia na mwanaume anachukulia simple tu,

14.Mkeo unamuona na mwanaume mwingine ukitaka kumsema ananua alafu we ndo unamuomba msamaha ,

15.Mwanamke anayejaza mashoga zake kwenye sebule yake nawe mwanaume ukiwepo unakuta wanawake sita we uko mwenyewe ,je huoni kasoro hapo?

16. Baadhi ya maeneo hataki muongozane anasema akutangulie mbele hataki muambatane

Kuna muda tunashindwa kutofautisha mapenzi ya kupendana kweli Na ya Limbwata

Mwanaume chukua hatua nimeona mwanaume mke wake anaingia saa 6 usiku mwanaume akajaribu kumsema, mke akaja juu, mme akasema KWANI MKE WANGU HUTANIWII?

Hizi Limbwata ni hatari
 
Hayo ni yenu ndo mnaharibu ndoa za watu, unajua wangapi wataachana kwa ushauri huu? Mapenzi yaliyopitiliza nyie mwaita limbwata
 
Kuna Mtu kasema asilimia 70 ya wanaume wamepewa limbwata, akasema kama unabisha fanya uchunguzi, akasema

1.Tabia ya mwana mke kuingia ndani saa zaid ya nne usiku alafu mwanaume kashalala na haulizwi chochote

2.Mwanaume kutoka safari anaambiwa chakula kipo hapo kwenye pot jipakulie wakati mke anaangalia TV au anaendelea na ishu zake nyingine

3.Watoto wanafanya makosa anasema subiri mama yenu aje anaua mtu , inamaana watoto washaona kwamba baba si kitu

4.Kukoromewa na mke kwenye kadamnasi ya watu, na mwanaume akaufyafa

5.Kushika simu ya mwana mke akakukaripia ukaiacha na kusema bebi hutaniwi? Wakati simu umenunua wewe dah

6.Kukupangia ratiba kwa kukuelekeza wakati unauwezo wa kujipangia

7.Mwanamke ndo anapanga nani wa kukutembelea nyumbani wengine hawaruhusiwi kukanyaga hata kama ni ndugu,

8.Mwanamke anakulazimisha kuwachukia wote ambao kachukiana nao yeye wakati hujui hata ugomvi umeanzaje

9.Mwanamke kujipangia duka la kununua vitu ,kwamba ni lazima tuwe tunanunua kwa fulani,

10.Unapata mshahara wote unamkabidhi yeye kwanza alafu anakugawia ya kutumia kidogo,

11. Mwanamke ndo msemaji wa familia hata kama mnapanga mara zote ndo anatoka nje kukabiliana na mwenye nyumba suala la malipo ya kodi au umeme,

12.Mwanaume ambaye kila saa yuko jikoni, sisemi majiko ya kizungu,yale ya kuni kila wakati anasogeza sogeza kuni wakati mke wake yupo tu

13.Mwanamke ni mlevi kuzidi au kupindukia na mwanaume anachukulia simple tu,

14.Mkeo unamuona na mwanaume mwingine ukitaka kumsema ananua alafu we ndo unamuomba msamaha ,

15.Mwanamke anayejaza mashoga zake kwenye sebule yake nawe mwanaume ukiwepo unakuta wanawake sita we uko mwenyewe ,je huoni kasoro hapo?

Kuna muda tunashindwa kutofautisha mapenzi ya kupendana kweli Na ya Limbwata

Mwanaume chukua hatua nimeona mwanaume mke wake anaingia saa 6 usiku mwanaume akajaribu kumsema, mke akaja juu, mme akasema KWANI MKE WANGU HUTANIWII?

Hizi Limbwata ni hatari
Kweli ikifika hatuahiyo ni limbwata maana ushakuwa zezeta kwake yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom