hivi ndo tulivyofanya.

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
asalaam wanajamvi.
Jamani nilianza mahusiano mwezi wa tisa na mkaka mmoja ambae tulifahamiana toka 2008, alionekana ni mkaka mpole na anaejali mpk nikaamua kujitosa kwake kama mpenzi wangu. B4 aliniambia hanamke ila anamtoto m1, na alitamani kuwa na mm kwa 7bu nami nina mtoto m1. Nimekuwa nikimdadisi mambo meengi sana kususu maisha alionekana kuwa muwazi kiasi kwa mambo mengi alioongelea niliona kwa macho na kuridhika.

Kwa kuwa siishi nae na huwa tunawasiliana muda mwingi sikuwa na wac2 nae sana mana still nilikuwa nikimchunguza. Juzi kati aliniaga akanambia anaenda kwenye mkutano na atalala huko. Kama kawaida ilipofika muda wa kulala nikampigia kumtakia ucku mwema. Ckuamini masikio yangu cm ilipokelewa na mwanamke akanambia mwenye simu anaoga, nikamuomba akitoka ampe niongee nae. Alipotoka alinambia ntakupigia baadae nikahoji kwann b'dae hakujibu. Cm ikawahaipokelewi (mmmmh nikamulika mwiziii). tulipoonana kesho yake akasema yule alikuwa muudumu wa hotel aliacha cm kwny chaji akapokea.

Juzi yule dada akanipigia, nikamuomba tuonane akakubali. Tuliongea mambo mengi khs huyo mpenzi wetu alotuchanganya. Tukapanga tumuite sehemu atukute wote hapo, kumbe anaishi na huyo dada na amehamia kwake,dada analalamika mwanaume hatoi hata shilingi, anamlisha na kumpatia hela za matumizi maana zake hazioni. basi 2kaagana na kutimua. Ucku wake mdada hakuvumilia akaanza kumpa mabango akanipigia akanambia tumchanee basitukawatunapokezana cm. Mwanaume akawa kimyaaa haongei. Basi nikamwambia huyodada yy aendelee nae mie najiweka pembeni naye anasema hamtaki kwani huyo kaka anamke. Hapo ndo kidogo nizimie loooo niliuvaa mkenge nipeni pole. Na poleni kwa uzi mrefuu.
 
Siku nyingine usiingie kichwa kichwa, magonjwa mengi sikuizi.
 
Sa hapa unataka sis tukushaur nin,mana sion cha maana,zaidi ya statements ndeefu?
 
good for u, hapo ndipo ninaposifu wanawake wakiungana kufight the same enemy badala ya kugombana wenyewe kwa wenyewe wakati wote ni victims

Nina uhakika huyo mwanaume atajifunza; mngemshirikisha na mkewe ili ajue what kind of husband she has.

Wanaume wanatuchanganya sana, na wanafarijika zaidi pale tunapogombana!
 
Sasa huyo dada mwenyewe mwizi alafu anaona tabu nae kuibiwa?

Kweli mkuki kwa binadamu mchungu.
Ila hongera wewe kwa ktoka kwenye huo msururu maana sio mchezo.
 
I see pole na wewe umezidi ufukunyuzi kwa tabia hii hutaolewa kamwe ukimchunguza kuku anacho kula huwezi kumla kamwe.
 
Pole! hapa nilipo ninaugomvi na warembo wangu sijui outcome yake itakuwaje!
 
Lady G,

Nenda kwenu ukatambike kama huna kwenu basi katoe sadaka msikitini, kanisani au kwa masikini!!

Babu DC!!
 
hahahaa@fidel

@leonard mchezo wa deci umechezwaje hapo. Asanteni kwa pole zenu, kweli mapenzi kimujini mujini kazi ipo.
 
hahahaa@fidel

@leonard mchezo wa deci umechezwaje hapo. Asanteni kwa pole zenu, kweli mapenzi kimujini mujini kazi ipo.

yaani ulipanda mbegu ili uvune kama deci lakini ndo hvo umeambulia patu,ulipata tabu kusafisha kaniki kumbe ndo langi yake.
 
mimi hapa nauliza swali
kama mkaka angesema wazi kuwa mpo wengi ingekuwaje?

wapo wanaaambiwa kabisa nina mke na nyumba ndogo mbili
na still wana fall ....
 
Ebana.........dah!!! Wanaume wengine sijui huwaga wamechanjiwa?? Looh......masikini mkewe, usikute hata hajui yanofanywa na mumewe.
 
Back
Top Bottom