Alinivuruga nikamwacha kimya kimya

kiroka

JF-Expert Member
Feb 28, 2018
355
1,856
Nilikua nae kwa muda wa miaka mitatu kwenye relation Safi wakati huo naishi nyumbani kwa walezi na kufanya mishe za hapa na pale nae anawa anaishi kwao pia na Ana kazi zake

Nikawa namhudumia matumizi ya kawaida kama kusuka vinguo nikipita kkoo nikiona kigauni kizuri namnunulia kiatu na vingine nae hakua nyuma akipata ki tsht au jeans na sendo alikua akiniletea mtoto yule

Mara zote tukitaka kufany yet tulikua tunaenga lodge nalipa Kula na kunywa na nauli Kama vile mwanaume unavotakiwa kumhandle mwanamke

Balaa lilikuja siku nimefiwa na mjomba angu tukiwa tumepanga nae kua kesho nikamle, baada ya kumpa taarifa kua nimefiwa na uncle akaniuliza kwa hyo haiwezekani Tena kufanya nikamwambia naweza kwenda lodge wakati mjomba angu tumbo moja na mama kalala mochwari cwezi subiri Kwanza niende nikirudi ntakucheki akaitikia kisingo upande

Tangu nimetoka mjini mpaka nafika kijijini hakunitumia text Wala kunipigia Wala kujua chochote kuhusu msiba Wala safari yangu nikawa nampigia Mimi mara asipokee text hajibu yaan vurugu tupu, nikaa kijijini Kama siku mbili nikarud mjini nikamwambia nimerud akajib sawa pole nikasema sawa,

Siku ya pili baada ya kurudi kutoka msibani akanipigia cm nimsindikize kkoo akanunue simu ambapo ilikua ni sku ya jpili nikamwambia naenda Kwanza kanisani misa ya kwanza nitawahi kutoka twende,

Nilivotok kanisani nikamchek nae alikua kashajiandaa tukaelekea kkoo nilimuulizia budget yake akanambia tukazuunguuka kutaft cm tukapata ikawa ni safar ya kurudi nyumbn tukiwa njian akanambia suala la kusex nikamwambia hela Leo cna nimetumia pesa Sana msibani akanambia yeye pesa anayo hivyo atalipa lodge nikakataa nikamwambia umetoka kununua simu saiv pesa utakua huna hyo alio nayo akae nayo Kama akiba ndani ya siku mbili zijazo Kuna pesa yangu naipata akakataa kata kata akasema namkatilia kwa sababu huko kijijini nilikokua msibani nmekutana na ma x want watakua wamenipa sex hivyo Sina hamu na yeye

Mwanamke yule akafungua pochi akanipa pesa nikasema sio mbaya tukaenda nikamla duu kumbe ilikua dhambi kubwa. Tumeachana vizur ucku akaanza kunitumia sms kuninanga mwanaume gani unakubali kulipiwa lodge na mwanamke Kama nimehongwa je akaniambia pesa yangu utailipa kivyovyote

Asubuh kulivokucha tu nikampigia jamaa angu nikamkopa akafanya muamala nami nikamtumia yule dada alivoiona akanambia huo ndo uanaume Sasa aaah tangu siku ile nikawa naanza kurud kinyume nyume simu nikawa sipigi Kila wakati Wala text hamna huduma nikakakata

Akawa ananiuliza nianze process za ndoa moyoni akawa amenitoka nikamkaushia nae akakausha maisha yakaendelea yeye kaolewa uko nami nimeoa Kila mtu na maisha yake

Ila mpaka Leo ananiuliza kwann nlimkaushia na nikaahirisha mipango ya ndoa mpaka Leo cjasema chanzo no nini
 
Joanah hebu njoo nipe smare ya hili gazeti... Mi nimeishia hapo alipoandika "akiniletea mtoto yule"
 
Safi kabsa mkuu ulifanya maamuzi ya kiume. Wanawake wenye akili kama hizo ni wajinga na hawana mapenzi ya dhati, Kwahiyo yeye kutoa hela yake ilimuuma sana. Wewe ushatoa pesa ngapi kumpatia na kulipia lodge ila yeye siku moja tu yamekuwa maneno. Aiseee☹️ Bora uliachana nae.
 
Umeleta tatizo ambalo ushalitatua tunataka tatizo ulilonalo lililokushika ili tukucheke,tulie na tukushauri!.

Sasa hapa hata chakukushauli hatuna au tukomenti kuwa tunaunga mkono hoja..?😀
 
Back
Top Bottom