Hivi ndivyo tunavyosherehekea miaka 50 ya Uhuru watu wa Ipuli - Tabora

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,826
966
08122011164.jpg
Soko letu jipya na watu walichangishwa fedha ili kujenga vibanda hivi!!!!


08122011166.jpg
Picha huongea zaidi ya maneno!!!!


08122011168.jpg
 
Toa maelezo kidogo basi...
  1. Ni wapi hapo?
  2. Mwaka gani?
  3. watu walichangia kiasi gani?
  4. ni mradi wa serikali au chama?
  5. Nani aliweka pesa?
  6. Watu walishirikishwa katika kutafuta eneo na ku-design vibanda?
  7. Jumla ya pesa ilio patikana ilikua ni ngapi?
  8. zilitumiwa kwa vitu gani?
  9. Baada ya watu kuona soko hili walisemaje?
  10. wamechukua hatua gani?
Asante kwa kutujibu hapo kwanza...
 
Toa maelezo kidogo basi...
  1. Ni wapi hapo?
  2. Mwaka gani?
  3. watu walichangia kiasi gani?
  4. ni mradi wa serikali au chama?
  5. Nani aliweka pesa?
  6. Watu walishirikishwa katika kutafuta eneo na ku-design vibanda?
  7. Jumla ya pesa ilio patikana ilikua ni ngapi?
  8. zilitumiwa kwa vitu gani?
  9. Baada ya watu kuona soko hili walisemaje?
  10. wamechukua hatua gani?
Asante kwa kutujibu hapo kwanza...
1. Hapo ni Ipuli Tabora Manispaa (Mjini)
2. Mwaka ni huu tulio nao na itaendelea hivyo kwa muda kidogo
3 - 5. Sijui kuhusu hilo la michango
6. Eneo walitengewa ila hivyo vibanda kila mtu alijijengea, na muda si mrefu eneo hilo litahama tena kupisha stand ya mabasi
7- 8. SIJUI Tena, huwa sipendi kujishughulisha na mambo yahusuyo pesa isivyo lazima.
9. Siyo soko ni Mnadani hapo(Loal Molls), (Shughuli zake hufanyika mara moja kwa wiki) na wanaendelea na shughuli bila ya malamiko, si kawaida kwa maeneo mengi ya nchi hii minada yake kufanana na Mlimani City au Quality Plazza (Molls).
10. Hatua walizochukua ni kuendelea kulitumia kwa kuchinja mbuzi kwa wingi kila Jumamosi na kuuza bidhaa nyingine kwa wingi.
 
consigliere kwani una ID zaidi ya moja?! Sikujua!

Hapana, aliyeanzisha thread ni tofauti na mimi.
Nimechangia kumjibu RR kwa kutumia style ya kuendelea alipoishia bila kuhoji wala kukanusha,au kudadisi.
Musimfananishe na mimi tafadhari, Im the worst person, mtmsababishia matatizo bure.
 
Back
Top Bottom