Hivi ndivyo Tanzania ilivyokufa kiume dhidi ya Nigeria (video goal)

haya ndio maneno yanayotufanya tubaki tulipo kila siku. Kujipa moyo kusipo na mantiki kunatulemaza, hakuna cha kufa kiume wala nini tumeshafungwa turudi tujitathimini upya tujipange kwa mengineyo. Bongo kandanda linachezwa kwenye magazeti kuliko uwanjani
 
lakini mkuu unaposema hivyo sio sawa,kwanza jua tumecheza na moja ya timu bora afrika,inayoshika nafasi katika timu kumi bora afrika,kutufunga goli moja tena kwa shida kiasi hii hii inaleta maana kubwa sana kwetu
 
LAKINI SOKA TUNALIJUA KIASI,IPO SIKU HATUTAKUFA KIUME,ILA TUTAUA MTU KIUME
 
lakini mkuu unaposema hivyo sio sawa,kwanza jua tumecheza na moja ya timu bora afrika,inayoshika nafasi katika timu kumi bora afrika,kutufunga goli moja tena kwa shida kiasi hii hii inaleta maana kubwa sana kwetu
Hamna mkuu kwani tulistahili kucheza na vibonde? hayo maneno yanatulemaza sana. Mi naona tuache kucheza mpira kwenye media tufanye kweli na tuache usanii. Taifa kama taifa hatujawahi kufika rank za juu alafu tuseme tumekufa kiume? Wao kama wao unasema ni team bora kwan wao wana nini walichonacho sisi hatuna kama ni wanaume na sisi ni wanaume pia. Tatizo hatuko kiprofessional hata kidogo mkuu.
 
UMESEMA VEMA BOSSI,ILA KUMBUKA HATA WEWE UKIPIGANA NA JITU LENYE MIRABA MINNE,UKALITINGISHA AU UKAMPA WAKATI MGUMU,PAMOJA NA KUWA ATAKUPIGA LAKINI STILL UTAJIPA SIFA KWA KUMSUMBUA
 
lakini mkuu unaposema hivyo sio sawa,kwanza jua tumecheza na moja ya timu bora afrika,inayoshika nafasi katika timu kumi bora afrika,kutufunga goli moja tena kwa shida kiasi hii hii inaleta maana kubwa sana kwetu
Kila siku kufa kiume hatuwezi tu tubadilike kufa ni kufa tu.
 
unajua mkuu kujifariji ni heri kuliko kujikatisha tamaa,yani wewe ukifanya jambo ukashindwa na ukajiambia umeshindwa kabiosa utakata tamaa ya kutaka kurudia tena na tena
 
UMESEMA VEMA BOSSI,ILA KUMBUKA HATA WEWE UKIPIGANA NA JITU LENYE MIRABA MINNE,UKALITINGISHA AU UKAMPA WAKATI MGUMU,PAMOJA NA KUWA ATAKUPIGA LAKINI STILL UTAJIPA SIFA KWA KUMSUMBUA
haa haa nimefurahia mfano wako mkuu, yah of course sifa kidogo hahiepukiki lakini tumjambishe tembo kabisa hata iwe kumtoa samadi kabisa.
Lakini tusijipe moyo wa ushujaa bado wakati hatujagikia hata kumpiga mwereka huyu bwana eagle. Tunatakiwa turudi tuangalie CD yao tukiwa tunacheza nao tuone mapungufu yetu yalikuwa wapi na wao weakness zao ziko sehemu gani ili next time tujirekebishe hata kwenye michezo mingine tuweze kuwa superior zaidi mkuu.
 
Bila muhaya kufanya maamuzi ya K.I.N.Y.E.G.E.N.Y.E.G.E kumfukuza polsen,leo tungdakua tnaongea mengne,nigeria wasingepata sare dar wala mwarabu asingetufunga kijinga,walimu wa ndani hawawezi
 
MAAMUZI GANI AT?
 
unajua mkuu kujifariji ni heri kuliko kujikatisha tamaa,yani wewe ukifanya jambo ukashindwa na ukajiambia umeshindwa kabiosa utakata tamaa ya kutaka kurudia tena na tena
Shida ni kwamba kwa sasa hakuna timu laini utapangiwa mchanganyiko, tusipoweza kuifunga timu ngumu hata moja basi tutaendelea kujifariji tu.
 
Back
Top Bottom