Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
[h=6]Chadema hakuna cha kupamba moto kwa ajili ya kuwania urais, wala hatuwezi kuwapo.Suala la muhimu kwetu ni namna ya kutafuta mizizi au vyanzo vya matatizo mbalimbali yanayokabili jamii pana ya Watanzania, kisha kutafuta majibu au suluhisho la kudumu, kwa kushirikiana na Watanzania wote wenye nia njema na nchi yetu.[/h]Nawakilisha