Hivi nani anatuangusha???

MGANGA WA KIENYEJI

JF-Expert Member
Sep 10, 2012
521
170
jamani hivi tatizo la tanzania ni kikwete au ni watanzania wenyewe? Hivi kuna raisi ambae amewahi kutukwana zaidi ya huyu na bado yopo cool tu. Hivi kama wateule wake wote wangefanya kazi kama mwakyembe au magufuli, nani angepiga makelele? Sasa inakuaje katika wateule wote wawe ni hao wawili tu wanao onyesha tofauti. Tatizo sio bongo zetu kweli? Mimi sikumchagua wala si mwanachama wa chama chake tangu nikiwa mtoto, niliapa situkua ccm hata kama nita kosa nafasi ya kuendelea na masoma kama tulivyo kua tuna ambiwa, lakini ubina adamu una nituma niseme, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.

Hebu tuwe realistic kidogo hapa, then tumuhukumu.
 
Tumefika hapa tulipo kutokana na:~
•Udhaifu wa Rais JK
•Baadhi ya Wabunge mambumbumbu
•Chama cha Mabwepande

By JJMnyika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom