Hivi n Digital Product Gani Mbongo anaweza toa 10K kuinunua?

Moviez Tz

Member
Nov 18, 2023
87
66
Digital product ni vitu kama mziki, video, movie, games, documents au file lolote lile ambalo lina access Mtandaoni tu. Nataka nisakue watu 1000 wakununua Digital product ya 10k niingize hiyo 10M mfukoni , wazungu mbona Hua wananunua kwa mbongo nitauza nn jamani ?
 
Movies.
 
Ngoja nikupe wazo kijana wa movies....

Anzisha youtube channel ya movie recaps, sema utakua unaongezea voiceover za kuchekesha na manjonjo kidogo kwa ajili ya fair use usipigwe copyright strike.

Nenda yt angalia channel za wazungu wanavofanya recaps na commentaries.

Anzisha telegram channel utakapokua unaweka hizo movie kwenye full length, nazo uwe umewekea voiceover....

Hiyo channel sasa ndo unaiwekea subscription paywall wawe wanalipia kiasi flani kwa mwezi, hapo sijui utafanyaje. Tumia yt channel kutangaza tg channel.

Bank.
 
Sitaki kitu chakunilambisha miaka nataka mafanikio ya haraka
 
Back
Top Bottom