Hivi mwanao akipata 1/43 kuna haka ya kuendelea kumlipia ada?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau
Nimeulizwa swali hilo huko mtaa wa saba, hivi mwanao akipata 1/43 katika mtihani kuna haja ya kuendelea kumlipia ada?
Tusaidiane majibu tafadhali sana.
 
Elimu ni maarifa na upokeaji wa ubongo kwa kile anachofundishwa unatofautiana baina ya watu na watu. Kusomesha ni wajibu ila nafasi ya kimasomo ni mipangilio ya watu tu!.
 
Jiulize maswali mawili tu. Moja, wewe na mama wa huyo mtoto mlikuwa mnapata ngapi kwenye mitihani hasa hisabati na sayansi? Mbili ,Wewe ulimpeleka huyo mtoto shule ukiwa na malengo au matarajio gani?
 
.
Hueleweki.
Mkipewa mtihani mmoja na mwanao naona atakuacha mbali. Hivyo endelea kumlipia maana kwenu ndie mwenye akili zaidi ya wote

HA HA HA HA HA HAAAA! Watu mna vituko kweli nyie. Napita tu jameni.
 
Endelea kulipa muda wake ndio bado ukifika utamkataa anazibuka ghafla utamshangaa usikate tamaa
 
Back
Top Bottom