Hivi mwanafunzi akipata maksi 25% anastahili kupongezwa?

Makusudically

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
2,201
1,232
UKAWA wanepata 25% na wanatamba kupita kiasi eti kuwa walikuwa na kidogo kwa sasa wamekwenda juu mno, wanaenda mbali kiasi cha kuamini kuwa 2015 njia ya kuingia Ikulu ni nyeupe, je hiyo ni sahihi? je mwenye 75% asemeje? eti tu kwa vile kapunguziwa kutoka 90.kadhaa alizokuwa nazo awali. Haya wana JF hususan wana Ukawa toeni majibu ya kuridhisha ktk hili ili wananchi tusiwakimbie ghafla.
 
kama hakuwepo darasani wakati wenzake wanafundishwa na hao waliofundishwa wamejtungia wenyewe huo mtihani ,kujisimamia wenyewem,bado wakaingia na daftari .Huyu wa 25 kakoseshwa na wasahihishaji ambao ni wanafunzi wenzake badala ya mwalimu.tusubiri necta
 
Ukawa kafanya maswali matano kapata 25 hao wenzake wamefanya maswali 100 maksi zao 75 au hujui mapingamizi
 
kama hakuwepo darasani wakati wenzake wanafundishwa na hao waliofundishwa wamejtungia wenyewe huo mtihani ,kujisimamia wenyewem,bado wakaingia na daftari .Huyu wa 25 kakoseshwa na wasahihishaji ambao ni wanafunzi wenzake badala ya mwalimu.tusubiri necta
Hata 2015 suaga ni hizihizi, CCM bado itawaburuza tu, mtatokaje 25% mwende kushinda?
 
Leo KITILA MKUMBO amenifurahisha sana , eti CCM wameshinda kwa namba, UKAWA wameshinda kisaikolojia, kwa kifupi UKAWA wanajifariji kuwa wameshinda.
 
Njia nyeupe hilo halina ubishi ,nyie bakieni hapo hapo mmeshinda kwa asilimia 75 ,ajabu aliepata asilimia 75 nae analalamika ,kama mwenye 75% analalamika huyu mwenye 25% afanyeje ?

Kaa sawasawa ,aliepata asilimia 75 vijiji na mitaa yake yote ina watu milioni 3 ,wale waliopata asilimia 25 vijiji na mitaa walioshinda ina watu milioni 8 ,sasa panga hesabu za 2015 hata muibuke washindi .
 
ukitoa 41% za mezani huyu dent alikuwa na supp tayari ashukuru mwalimu wake tamisemi
U atumia hesabu gani mkuu kusema 41% ni ushindi wa mezani. Nkusaidie tu chukua mapingamizi ambayo mnaita ushindi wa mezani ujue ni sehemu gani ya ushindi wote wa CCM , usituletee hesabu za chekechea.
 
kama hakuwepo darasani wakati wenzake wanafundishwa na hao waliofundishwa wamejtungia wenyewe huo mtihani ,kujisimamia wenyewem,bado wakaingia na daftari .Huyu wa 25 kakoseshwa na wasahihishaji ambao ni wanafunzi wenzake badala ya mwalimu.tusubiri necta

We ni kichwa umempa ya uso.
 
UKAWA wanepata 25% na wanatamba kupita kiasi eti kuwa walikuwa na kidogo kwa sasa wamekwenda juu mno, wanaenda mbali kiasi cha kuamini kuwa 2015 njia ya kuingia Ikulu ni nyeupe, je hiyo ni sahihi? je mwenye 75% asemeje? eti tu kwa vile kapunguziwa kutoka 90.kadhaa alizokuwa nazo awali. Haya wana JF hususan wana Ukawa toeni majibu ya kuridhisha ktk hili ili wananchi tusiwakimbie ghafla.
Nani kapata 25%? na nani kapata 75%? Ukiwa hulijui jambo uliza usaidiwe ......Kuna watu wameichukulia kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar er salaam bw. Meck Sadick kama ndiyo over .......yale ni natokeo ya mkoa wake tuu ndani ya majimbo 8 tu, ndiyo ccm imepata 75% tutayaweka hapa matokeo ya mikoa yote na kila jimbo pamoja na mapingamizi UKAWA WANA 39.75% , wamefanya vizuri sana kanda ya ziwa Mara....Mwanza....Geita.....Shinyanga.......Kagera....Na Simiyu,nyanda za juu kusini....Mbeya ..Rukwa .., UKAWA pia wamefanya vizuri Kigoma ....Arusha .....Manyara ....na .Kilimanjaro , lakini pia Mtwara na kiasi kodogo Tabora, Morogoro, Singida na Lindi Ccm nao wamefanya vizuri Tanga, Dodoma, Iringa na Dar es Salaam kwa bahati nzuri ccm wanalijua hili na ndiyo maana ndg yetu NAPE yuko kimya .....tutayaweka matokeo ya kila mkoa na majimbo kwa PDF ...Wait
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom