Hivi mtu utatokaje kimaisha kama mambo ndo haya?

Mtu una umri wa miaka 25.

Mtu umeishia form four na ulifeli vibaya mno.

Mtu huna ajira wala kazi yoyote wala mtaji tuseme unaweza kujiajiri na huna connection yoyote.

Mtu unaona kabisa umri wa kuoa umefika ila huna hela huna kazi na hata future wife huna.

Mtu huna hela mfukoni. Huna marafiki au ndugu tuseme wakukopeshe au wakusaidie.

Mtu ulichonacho ni smartphone ya laki moja na nguo chache tu. Mtu unakaa kwenu hadi leo.

Jamani jaman mtu wa hivi utatoka lini kimaisha au ndo basi tena?

Wenzangu mliokuwa kwenye hali kama yangu mlifanikiwaje??
25 mbona wewe una afadhali sana. Uliza vizuri sababu kuna vijana wa umri wa miaka 30 32 34,35, 36 na 40 nawafahamu hadi leo wapo kwao na wanaishi maisha ya kubangaiza.
 
Hahssss mi nikiwa na 20 age nilikua najiongezea 3 mbele so napambana kama nina miaka 23 wakati ni less inasaidia 25 jione una 28 ndo akil inachangamka

Jinsi ya kutoka kimaisha
-jichangane na watu tofauti(kiwe kitndo cha harak tena waliofanikiwa kam humu jf wapo)

-achana na kamali(biko,beting)turn into forex biz
-ingia mnadani walao uwe na buku 50 hivi location; tandale ,time everyday morn

-hapo kuna nguo nzuri kwa bei nzuri na ni nzuri kusanya uza mtaani upate mtaji zaid

-Think positve usiogope maisha icheke kesho yako kwa maana unaiandaa na haitokusumbua

-maisha hayana huruma nawe usiyaonee huruma wala aibu yanakudhalilisha mchan kweupee

Zubaa yakukate kata funua
 
Kwanza unapaswa kujua unataka kuishi maisha ya mfumo upi.. aina ya maisha unayotaka ndio itakupa jibu unaoa mapema au la, mfano mimi nataka kuishi kama mkulima mdogo kumudu chakula,baiskeli au pikipiki moja,nyumba ndogo ya msonge lazima nitaoa mapema tu baada ya mavuno ya misimu miwili au mitatu. Kama inataka nyumba ya kisasa,gari(mfano harrier) nk itahitajika uwajibikaji mkubwa wa akili kiliko nguvu au nguvu nyingi na akili nyingi ili kutimiza malengo yako kabla ya miaka 40 hususan kama hauna kipaji kikubwa.Jinsi inavyojibadilisha kuendana na kasi ya maisha ndivyo maisha yatakupa pia majibu ya kasi yako.
 
Mkuu nitafute nikufundishe jinsi yakuanzisha na kuendesha Social Media Marketing Agency.

Are you ready?

Hauhitaji mtaji. Ni wewe tu na bundle zako na kufahamu jinsi yakuanza kwa usahihi.

Mkuu, ili upate pesa inabidi ufanye kazi inayoongeza value kwenye biashara au maisha ya watu.

Na mimi nitakufundisha hivyo.

Acha kushangaa take advantage Social Media imetoa.
Tufundishe....me pia mhanga
 
Chagua kitu kimoja unachokipenda/ kupendelea kukifanya na moyo wako unakuwa na Amani kisha kifanye kwa juhudi na maarifa zaidi....ng'ang'ana nacho tu mpaka kitaelelewa tu
 
Binafsi nahitaji kuishi maisha ya kisasa tatizo hata sijui nianzie wapi mkuu
Kwanza unapaswa kujua unataka kuishi maisha ya mfumo upi.. aina ya maisha unayotaka ndio itakupa jibu unaoa mapema au la, mfano mimi nataka kuishi kama mkulima mdogo kumudu chakula,baiskeli au pikipiki moja,nyumba ndogo ya msonge lazima nitaoa mapema tu baada ya mavuno ya misimu miwili au mitatu. Kama inataka nyumba ya kisasa,gari(mfano harrier) nk itahitajika uwajibikaji mkubwa wa akili kiliko nguvu au nguvu nyingi na akili nyingi ili kutimiza malengo yako kabla ya miaka 40 hususan kama hauna kipaji kikubwa.Jinsi inavyojibadilisha kuendana na kasi ya maisha ndivyo maisha yatakupa pia majibu ya kasi yako.
 
Ushauri mzuri mkuu.

Nashukuru sana
Hahssss mi nikiwa na 20 age nilikua najiongezea 3 mbele so napambana kama nina miaka 23 wakati ni less inasaidia 25 jione una 28 ndo akil inachangamka

Jinsi ya kutoka kimaisha
-jichangane na watu tofauti(kiwe kitndo cha harak tena waliofanikiwa kam humu jf wapo)

-achana na kamali(biko,beting)turn into forex biz
-ingia mnadani walao uwe na buku 50 hivi location; tandale ,time everyday morn

-hapo kuna nguo nzuri kwa bei nzuri na ni nzuri kusanya uza mtaani upate mtaji zaid

-Think positve usiogope maisha icheke kesho yako kwa maana unaiandaa na haitokusumbua

-maisha hayana huruma nawe usiyaonee huruma wala aibu yanakudhalilisha mchan kweupee

Zubaa yakukate kata funua
 
Mkuu nitafute nikufundishe jinsi yakuanzisha na kuendesha Social Media Marketing Agency.

Are you ready?

Hauhitaji mtaji. Ni wewe tu na bundle zako na kufahamu jinsi yakuanza kwa usahihi.

Mkuu, ili upate pesa inabidi ufanye kazi inayoongeza value kwenye biashara au maisha ya watu.

Na mimi nitakufundisha hivyo.

Acha kushangaa take advantage Social Media imetoa.
0764932021
Nisaidie
 
Hahssss mi nikiwa na 20 age nilikua najiongezea 3 mbele so napambana kama nina miaka 23 wakati ni less inasaidia 25 jione una 28 ndo akil inachangamka

Jinsi ya kutoka kimaisha
-jichangane na watu tofauti(kiwe kitndo cha harak tena waliofanikiwa kam humu jf wapo)

-achana na kamali(biko,beting)turn into forex biz
-ingia mnadani walao uwe na buku 50 hivi location; tandale ,time everyday morn

-hapo kuna nguo nzuri kwa bei nzuri na ni nzuri kusanya uza mtaani upate mtaji zaid

-Think positve usiogope maisha icheke kesho yako kwa maana unaiandaa na haitokusumbua

-maisha hayana huruma nawe usiyaonee huruma wala aibu yanakudhalilisha mchan kweupee

Zubaa yakukate kata funua

Mwaka huu nilikutana na mkaka mmoja anauza mashuka ya mtumba bunju...tukamuungisha mashuka..tukajikuta tunataka kujua maisha yake ana watoto 2 ana mke na amepanga tandale..ila biashaea zake anafanyia bunju...so anatembeza bar zote za bunju...shuka 1 anachukua kwa 5000 yy anauza 15 had 20 kulingana na mtu...alafu ana mtaji wa mashuka 10 tu...maisha yanaenda fresh tu..tulimpenda kwakwwl
 
Back
Top Bottom