Hivi mtu akipata degree za vyuo vikuu hawezi kazi nyingine mpaka aajiriwe?

mkulungwa

Member
Feb 20, 2011
12
1
Hali zenu wanajamii!!!

Mwenzenu nina mdogo wangu kamaliza Chuo kikuu cha Dar Es Salaam mambo ya biashara. Miaka mitatu sasa anatembea kutafuta kazi hajapata hata kama ana first class. Nimemfungulia biashara pale kariakoo kusimamia mzigo toka china na kusambaza kwa wateja .. but kashindwa!! nashindwa nimfanyeje yaani mvivu na sopsop tu hataki vumbi.

wadau nisaidieni mwenzenu, hivi ndivyo degree zote zinavyokuwa or ? kwanini iwe hivyo? faida ya degree sasa nini hasa first class?

Mkulungwa​
 
Usishangae kwani lengo la yeye kusoma biashara na malengo ya elimu hiyo katika kukabiliana na maisha ya tz bado nini maswali mengi,vijana wa bcom wanakatisha tiketi pale ubungo.
 
I'm sorry to say this dear, Elimu yetu imeshuka kiwango sana, graduates wengi hawako creative kabisa zaidi ya hilo la kujituma.
Inahitaji kuwa fighter and at the same well upstairs katika maisha na shule, pia vijana wengi wanapenda mteremko wa maisha, wanapenda kubebwa sana. Wakisahaona mtu katika familia kafanikiwa hawapendi kujituma tena wakidhani kuwa watapata unafuu kwa kupitia migongo yao.
Ina bidi ufanye uamuzi mgumu, muulize nini anapenda kufanya, muwezesha kama ni mtaji na usimamizi wa mwanzo, then muache, umkimfatilia sana sio ajabu utakuja hadi kumlipia hadi mahari.
 
Mkuu huyo ***** achana nae, yaani anakuwa sopsop hata kazi hana unafikiria atajishughulisha kweli huyo... Miaka mi3 anatafuta kazi wakati wenzake wanamaliza na kujiajiri. Labda wewe mkuu ndio unae muachia awe mpuuzi.... Mfukuze kwako kwenye ugali wa bure akajitegemee akili itakuja tuu, ukimuacha aendelee kuishi kwako na kula bure atazeekea hapo, kama unauwezo mpe mtaji na kumfukuza hapo nyumbani mapema ingawa ushachelewa!!!!
 
mrudishe kijijini akanywe kangara na chan'gaa huko kwenye mabanda .... atie akili ....
 
Mkuu Heshima kwako.
1. huyu mdogo wako ni mzembe, hiyo first class amedesa.
2. Unamdekeza, kama hawezi kazi mwambie aache ajiri wanaotaka kufanya kazi
3.wewe unamdekeza, anatakiwa apange ajue bei ya chumvi, am sure hapo alipo hata bei ya chumvi hajui!
4. Mfumo wa elimu za kibongo unamuandaa m2 kuajiriwa
5.
 
umemzoesha sopsop mlishe vumbi la kijiji apate akili kidogo.
 
Hali zenu wanajamii!!!

Mwenzenu nina mdogo wangu kamaliza Chuo kikuu cha Dar Es Salaam mambo ya biashara. Miaka mitatu sasa anatembea kutafuta kazi hajapata hata kama ana first class. Nimemfungulia biashara pale kariakoo kusimamia mzigo toka china na kusambaza kwa wateja .. but kashindwa!! nashindwa nimfanyeje yaani mvivu na sopsop tu hataki vumbi.

wadau nisaidieni mwenzenu, hivi ndivyo degree zote zinavyokuwa or ? kwanini iwe hivyo? faida ya degree sasa nini hasa first class?

Mkulungwa​

mtumishi nenda chuo kikuu ukaulize ""DESA" nini nini???
utomlalamikia sana..mwambie maisha popote
 
Back
Top Bottom