Hivi mtu akichaguliwa kuwa waziri anatakiwa awe na elimu kuanzia level gani

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,185
3,547
Wadau jana nilipita sehemu nikakutana na mdahalo mzito sana watu wakibishana hivi mtu kama wazili anatakiwa na elimu kuanzia level gani je ni degree,masters,phd....au diploma
 
ani wasira, sitta, mama nagu namwandosya ni washikaji wa rais sio??

wewe sasa una utani na watu

ngoja waje wakubabue na polonium
 
Soma tu Katiba, utajua mtu wa elimu gani anaweza kuwa kiongozi. Ila vyama ndio vimejiwekea vijikatiba vyao kwa viongozi
 
Uwaziri ni ofisi ya kisiasa zaidi na si ya kitaalamu. Inawezekana uzoefu na elimu ya mtu ika msaidia katika kutekeleza majukumu yake, lakini hii sio lazima.

Kama alivyosema SI pale juu, siasa ndio itakayoamua nani awe waziri -- ukaribu wako na mwenye nchi.
 
uwaziri ni uongozi wakisiasa zaidi, kama alivyosema mdau saint ukiwa mshikaji na rais unaukwaa
 
Uwe rafiki wa karibu wa mwenye nchi, uwe na degree ya ufisadi na uzoef wa kula rushwa nadhani kwa uongoz wa chama kinachotawala vgezo hivyo vinatosha kabisa..
 
Wadau jana nilipita sehemu nikakutana na mdahalo mzito sana watu wakibishana hivi mtu kama wazili anatakiwa na elimu kuanzia level gani je ni degree,masters,phd....au diploma

Nenda muulize Joseph Mbilinyi(Sugu), Vicent Nyerere au Mgombea mwenza wa SLAA uchaguzi mkuu 2010
 
1.Uwe na urafiki na rais na pia umpe michango kipindi cha kampeni eg EL
2.Uwe na urafiki na mkuu wa TISS akufanyie mipango eg Membe
3.Uwe na influence/effect kwa magamb.a eg 6
 
Back
Top Bottom