Hivi mshahara wa askari polisi kwa kima cha chini ni sh ngapi kwa mwezi?

860 kwa graduate,proffessional allowance 129,pango 129 posho ya msosi 300,ukiwa auvai uniform yaan mpelelez unapata km 250hv ukijumlisha utaitaman sana kaz ya upolis,ielewke ata form four anamzid mwl mweny degree
ndo maana vitambi vimeongezeka.
 
Ni ushamba kujitapa humu kuwa wewe ni polisi raia kuwajadili polisi haijaanza leo waache waseme, kumbukeni mshahara ni siri.
Mbona povu linakutoka mkuu.....uko ni kujivunia??? umesikia naipenda kazi yangu .....Acha kuwa na mawazo mgando mbona Rais katangaza mshahara wake
 
860 kwa graduate,proffessional allowance 129,pango 129 posho ya msosi 300,ukiwa auvai uniform yaan mpelelez unapata km 250hv ukijumlisha utaitaman sana kaz ya upolis,ielewke ata form four anamzid mwl mweny degree
Mbali sana..
 
Bora tu sasa ,Uhakiki wa vyeti Upolisi uanze,Nusu yao vyeti halisi lakini vya ndugu zao,Naomba uhakiki uanze mara moja
 
Acha uongo police wa kike hawalindi Bank, huyo mkeo atakuwa anaenda kubanjuliwa na SI kulinda Bank...

Kima cha chini ni 400k+300k posho... Mwl graduate anasubiri kwa mbaaaaaali, police graduate anakaribia 900k(basic)+300k posho, huku akiwa na 250k kama profession and rent allowances... Jumlisha hapo mi sijui hesabu

Mnapigana kamba hadi huruma jf bana.
 
Mwenye elimu ya form four....analamba laki NNE na elfu sitini.....ukuongeza na posho laki tatu.....kama laki saba......hadi nane hivi.......

Mwenye degree anagusa kama laki tisa na kitu hivi ongeza na posho mia tatu.....kama milioni na laki mbili hivi....ongeza na mbwembwe zingne.......
Hiyo posho ya laki tatu ni kwa ajili ya nini?
 
Mimi mke wangu ni polisi ,Analinda benki,posho kwa siku 5000,Mshahar 270,000/- , Nyumba bure,Umeme bure na tuna jiko la umeme plate 6, Taa hatuzimi.
Acha uongo,polisi aliyeolewa na raia haruhusiwi kukaa naye Line police,ataambiwa akapange uraiani kwa mmewe, lakini polisi wa kiume aliyeoa raia anaruhusiwa kuishi line polisi na mkewe bila sharti lolote.
 
Basi mi nipo kambini,sema kwakuwa nafanya kazi za kiserikali na usalama ndo maana wameniacha
 
polisi was tanzanzania ni majanga,wanaroho mbaya sanaaaa.
 
Mbona povu linakutoka mkuu.....uko ni kujivunia??? umesikia naipenda kazi yangu .....Acha kuwa na mawazo mgando mbona Rais katangaza mshahara wake
Mshahara majeshini ni siri, lakini pia usipende kujiexpose mitandaoni kuwa wewe ni askari, raia kusema ni haki yao kwani wewe unawajua askari wote wa Tanzania waache waseme.
 
Back
Top Bottom