Hivi mshahara wa askari polisi kwa kima cha chini ni sh ngapi kwa mwezi?

Mkuu maisha ni akili tu....kaka wala haijalishi wewe unapata mshahara kiasi gani kwa mwezi.....

Mimi nilianzisha mradi pamoja na kujibana bana...ndani ya mwaka nilikuwa na pesa nikaanza ujenzi taratibu na nimemaliza nyumba angu ya m 18...na sasa Nina Gari

Pesa sio kwamba polisi hawana pesa nooo isipokuwa tu ni namna wanavyoitumia pesa yao ntakupa jinsi nilivyofanya na sijawahi kukopa na sasa nipo UDOM...
 
[QUOTE="bushland, post: 15750343, member: 2775Wanalipwa laki 8 bana

Laki 8 my foot. Mwanajeshi anaetoka depo kwa mara ya kwanza ambae nao ndio wale wale waliofel form 4 kwenye zile shule za lowasa ndo wanalipwa laki 8, laki 5 mshahara na laki 3 foodallowance. Kwa police laki 8 nahc awe amelitumikia jeshi miaka kumi naaa[/QUOTE]
katika wapumbavu ww ni mpumbavu hujui kama hao wanakeshi wanakula kambini na lesheni yao ambayo ni laki tatu wanakata uko kwenye chakula afu wanalipwa laki moka na themanini so kama laki sita na themanini tu wakati polisi anapewa laki nne mshahala posho laki tatu akikatwa makato bac polisi atachukua laki sita na nusu ndio explanation iyo ya mishahal
 
Laki 8 my foot. Mwanajeshi anaetoka depo kwa mara ya kwanza ambae nao ndio wale wale waliofel form 4 kwenye zile shule za lowasa ndo wanalipwa laki 8, laki 5 mshahara na laki 3 foodallowance. Kwa police laki 8 nahc awe amelitumikia jeshi miaka kumi naaa
katika wapumbavu ww ni mpumbavu hujui kama hao wanakeshi wanakula kambini na lesheni yao ambayo ni laki tatu wanakata uko kwenye chakula afu wanalipwa laki moka na themanini so kama laki sita na themanini tu wakati polisi anapewa laki nne mshahala posho laki tatu akikatwa makato bac polisi atachukua laki sita na nusu ndio explanation iyo ya mishahal[/QUOTE]

Kubishana na kondoo Kama wewe usiejua jua wala mvua ni kujishushia hadhi...
 
katika wapumbavu ww ni mpumbavu hujui kama hao wanakeshi wanakula kambini na lesheni yao ambayo ni laki tatu wanakata uko kwenye chakula afu wanalipwa laki moka na themanini so kama laki sita na themanini tu wakati polisi anapewa laki nne mshahala posho laki tatu akikatwa makato bac polisi atachukua laki sita na nusu ndio explanation iyo ya mishahal

Kubishana na kondoo Kama wewe usiejua jua wala mvua ni kujishushia hadhi...[/QUOTE]
pow bhan mkuu ww uahadhi
 
Sifa kubwa ya askari polisi wa Tanzania ni ukatili, roho mbaya na kuacha kutumia akili kwani wanangoja kupokera amri tu then wanarusha risasi.Ndiyo maana katika jeshi hilo kigezo cha elimu siyo muhimu, watumikishe utakavyo hawawezi kulalamika, kuishi kwao kwenye vibanda vya mabati kama njiwa.

Mkuuu kwa jazba ya namna hii utakuwa umepigwa chini na jeshi la polisi tu!???
 
Mkuu utafiti Wa sasa jeshi LA polisi linaongoza kwa kuwa na wasomi acha kuwa na mawazo mgando ebu jaribu kuuliza ambao wamewahi kuudhuria interview za kujiunga na jeshi LA polisi....wala hakuna polisi mwenye zero.....kama yupo njoo nikupe gari langu.
Hao wote wanaokashifu polisi iko siku watafilwa na panya road ndiyo watajua umuhimu wa polisi.
 
Sifa kubwa ya askari polisi wa Tanzania ni ukatili, roho mbaya na kuacha kutumia akili kwani wanangoja kupokera amri tu then wanarusha risasi.Ndiyo maana katika jeshi hilo kigezo cha elimu siyo muhimu, watumikishe utakavyo hawawezi kulalamika, kuishi kwao kwenye vibanda vya mabati kama njiwa.
wapo wengi huku Barracks keko wanakaa kwenye vibanda kama njiwa...nimecheka sana loooh
 
Hawa Jamaa Police Kila Leo Kubadili Number Za Gari Zao Walio Wengi Wamezoea PT (POLICE TANZANIA) (PIGA TU) Sasa Hivi Wanaweka TP (TANZANIA POLICE )
 
Back
Top Bottom