Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

Mzee Paris ni tofauti na dar, khaa leo hii inalinganisha Paris na Dar, hivi nyie watu wadar mpoje
Mkuu wala usijali..... Weye huku hapakufai kamwe usije!! tuachie sisi!! mavyakula yooote haya DSM unasema unakula sahani tatu?? huna hela weye!

kwa sababu DSm bana wanakula milo saba! tena mizuri mfano mkia wa ng'ombe jioni, kiti moto roast, nzdizi, misosi ya kichina inayo pikwa kwa sun rays km kobe, mbwa, chatu,nk ndo maana sometimes wana zuga na chips mbili tu!

walisha shiba kitambo, au anaonja hapa ili akale kwingine vizuri, sasa km weye umekuja leo, ukawaona wanaonja chips! lzm utaona kula yao ni ya shida! kuumbe wenzako wameanzia mbali mnoo!

Ratiba zao zimejaa Mamisosi, na jioni tena anakwenda harusini, Semina, kipa imara, grduation ceremony ya mtoto wa chekechea,.sherehe za kutimiza miaka miwili ya ndoa, hukooo ni kula zaidi!

sasa km weye ni mgeni utaalikwa na nani ukale?? lazima ule shani saba, hata hizo mbili unajitesa! lkn mwana Dsm yeye asubuhi akiamka chai ya rangi na vitumbua tu,

eti huyu unamshangaa! kuumbe mwenzio mpaka hiyo asubuhi anacheua makobe na bia za jana usiki!..unaenda mkoa kumtangaza!! kwani unaona Dar kuna vimbau mbau??
 
mkuu kitimoto ya pale mabibo nit tamu sana,
Pale panaitwa ''Full Dose!! .....kuna ile inayo iva polepoleee! kwa joto la oven ya mkaa! safiii! lainii! hakuna wese la maudhi! hata km lipo ni kwa mbaaali halafu limechomeka uzuri eeebana wee!!

yaani Bongo ukipapatia bana uhami kirahisi nakwambia!...nilijaribu kuhamia kikazi Iringa mjini!! Yaani mwezi tu nikakataa kazi huko! nikarudi zangu Bongo Land bila kazi, na nika ishi,tena vizuri mnoo!
 
Back
Top Bottom