Hivi mpaka sasa bado unanga'ng'ania Dar es Salaam wewe loser my friend..

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
2,035
2,682
Niko fiti kamili gado, sijui wewe?

Hoja yangu ya msingi inakwenda kwa nyie wakazi wa bongo land a.k.a jiji la chura wanaonesanesa kwenye vumbi, vijana wala chips mlenda mlenda a.k.a mabwabwa, ila sio wote wapo hivyo ni baadhi yao, msinielewe vibaya.

Laana iliyopo dar ni zaidi ya sodoma na gomora, dar ya sasa sio kama ile dar ya baba yangu alienda miaka ya 98 akapiga pesa mpaka akajenga nyumba kubwa kama ikulu ya magogoni ,dar zamani bana, kila kitu kilikuwa shwari, pesa kibao watu walikuwa wakarimu tena waliojaa upendo sana.

Hivi mtaacha tabia lini ya kutembeza vigoma mtaani huku wadada wakiwa uchi, au ile tabia ya kufunga barabara kisa mnaenda kuangalia mabondia wakipima, hii nimeiona mabibo juzi yani wadada waliochoka na maisha wamepakizwa kwenye mapikipiki huku vingoma vinapigwa tabu tupu.

Dar mnalia tabu ya maji, huwa nikisikia eti dar maji tabu nachekaga sana, nakutafakari baada ya miaka 10 mbele dar itakuwa kama ile movie ya mad max, maji yamekuwa deal mpaka mtu unaona ni bora ukaoga kwenye ndoto, ukiamka kila kitu ushamaliza kwenye ndoto.

Vidada vya dar es salaam vinatembea uchi, alafu vinaangalia pesa sana, yani utasikia wewe mkaka wa arusha mrefu basi mzigo wako utakuwa tu mrefu mimi hata usinipe pesa nyingi, nipeleke guest ukanipelekee moto asubuhi nipe elfu 5 tu, huku hakuna wanaume wakupiga mashine kama nyie wachuga, nacheka kwa madharau sana dar wanaume mnatuangusha, wanasema nyie wakaka wa chuga na kina ngosha mpo vinzuri sana, eti ni kweli wanavyosema?

Siwezi nikaishi dar, kwanza sipendi joto sana, napenda kuishi kwenye ubaridi wa wastani, vijana wa dar hawajui kula yani dume nzima linakula chakula sahani nusu khaaa mimi siwezi juzi nilipokuwa dar nimekula sahani 3 kwa mama ntilie mpaka watu wamenishangaa wakati kwangu kawaida sana, mwanaume heshima kwenye kufinya diko, huwezi nikuta nakula chips hata siku moja sasa hizo chips nitakula sahani ngapi ili nishibe sinitamaliza tu pesa yangu bure, siongei hapa ilinijisifu bali nachokiandika hapa ni kweli.
Dar. Ya ajabu sana eti wadada wanachangisha rambi rambi mtu akifa,hii nimeiona dar tu..😅😅😅

Wanasema dar kuna pesa, ni kweli kunapesa ila sio kama zamani, kwanza sasa hivi biashara za kuigana sana, sio madharau bali nasema ukweli huwezi nikuta nauza matunda au nimefungua Kigoli kidogo nauza nguo,au nauza vipweza barabarani daah ni bora nizame Bush tu, usinifikirie vibaya naongea ukweli wangu.

Huku kwetu sisi hatuna shida ya maji,yani tuna maji mpaka tunanyeshea migomba maji ya bomba.

Najua kwa wakazi wa dar mtachangia kwa hasira sana, ila heshima ifuate mkondo moderator hawajalala mda huu.
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD,
APPROXIMATELY ONCE AGAIN..
 
Niko fiti kamili gado,sijui wewe???

Hoja yangu ya msingi inakwenda kwa nyie wakazi wa bongo land a.k.a jiji la chura wanaonesanesa kwenye vumbi,vijana wala chips mlenda mlenda😅😅 a.k.a mabwabwa,ila sio wote wapo hivyo ni baadhi yao,msinielewe vibayaaa.

Laana iliyopo dar ni zaidi ya sodoma na gomora,dar ya sasa sio kama ile dar ya baba yangu alienda miaka ya 98 akapiga pesa mpaka akajenga nyumba kubwa kama ikulu ya magogoni,dar zamani bana,kila kitu kilikuwa shwari,pesa kibao watu walikuwa wakarimu tena waliojaa upendo sana.

Hivi mtaacha tabia lini ya kutembeza vigoma mtaani huku wadada wakiwa uchi,au ile tabia ya kufunga barabara kisa mnaenda kuangalia mabondia wakipima,hii nimeiona mabibo juzi yani wadada waliochoka na maisha wamepakizwa kwenye mapikipiki huku vingoma vinapigwa tabu tupu..

Dar mnalia tabu ya maji,huwa nikisikia eti dar maji tabu nachekaga sana,nakutafakari baada ya miaka 10 mbele dar itakuwa kama ile movie ya mad max,maji yamekuwa deal mpaka mtu unaona ni bora ukaoga kwenye ndoto,ukiamka kila kitu ushamaliza kwenye ndoto..

Vidada vya dar es salaam vinatembea uchi,alafu vinaangalia pesa sana,yani utasikia wewe mkaka wa arusha mrefu basi mzigo wako utakuwa tu mrefu mimi hata usinipe pesa nyingi,nipeleke guest ukanipelekee moto asubuhi nipe elfu 5 tu,huku hakuna wanaume wakupiga mashine kama nyie wachuga,nacheka kwa madharau sana dar wanaume mnatuangusha 😅😅😅,wanasema nyie wakaka wa chuga na kina ngosha mpo vinzuri sana,eti ni kweli wanavyosema ???

Siwezi nikaishi dar,kwanza sipendi joto sana,napenda kuishi kwenye ubaridi wa wastani,vijana wa dar hawajui kula yani dume nzima linakula chakula sahani nusu khaaa mimi siwezi juzi nilipokuwa dar nimekula sahani 3 kwa mama ntilie mpaka watu wamenishangaa wakati kwangu kawaida sana,mwanaume heshima kwenye kufinya diko,huwezi nikuta nakula chips hata siku moja sasa hizo chips nitakula sahani ngapi ili nishibe sinitamaliza tu pesa yangu bure 😅😅😅 siongei hapa ilinijisifu bali nachokiandika hapa ni kweli..

Wanasema dar kuna pesa,ni kweli kunapesa ila sio kama zamani,kwanza sasa hivi biashara za kuigana sana,sio madharau bali nasema ukweli huwezi nikuta nauza matunda au nimefungua Kigoli kidogo nauza nguo,au nauza vipweza barabarani daah ni bora nizame Bush tu,usinifikirie vibaya naongea ukweli wangu.

Najua kwa wakazi wa dar mtachangia kwa hasira sana,ila heshima ifuate mkondo moderator hawajalala mda huu.
ONE TIME,
ONE FOR THE ROAD,
APPROXIMATELY ONCE AGAIN..

Kama unaogopa kuishi dsm sasa huku majuu utapaweza Paris ,Tokyo na Chicago
 
Huku hamna kuoza meno ,hakuna mademu majike dume hata walitoka huko kwenu wakina hapa lazima wbadilike ,mishe mishe kibao Yale matambaa ya mitumba kwenu ndo ujanja huko wanavaa watu wa hali ya chini...kamji chenu kama population ndogo mkija dar ushamba ni mwingi mkiona bahari basi mnachachawa.

Huku uwezo unajielewa sio kelele mkirudi kwenu mtakuwa maskini na mtauwana maana wengi ni mtapeli, wezi ,walevi na wazee wa magendo na hapa ndo Kuna mzunguko mkubwa...wa dar hajawai kufika huko kushinda na Makoti kama bodaboda we juzi tu ulikuwa huku umefuata nn?😂😂😂 Kijana dar inahitaji street wisely kuwa smart mnajulikana kwa meno yenu na kuvaa matambaa ya mitumba miaka nenda rudi hamjiamini unashinda kuleta battle coz hata umwambie father wako wapi ni best anajua....wengi mnashinda pale china plaza mnauza mitumba na usela mavi
 
Back
Top Bottom